johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa Mazingira wa Kenya mh Duale amewataka Wakenya wanaolalamikia ukarabati wa Ikulu ya Nairobi waende Tanzania au Misri wakaone Wenzao walivyo na Ikulu za kisasa
Duale amesema Magufuli amejenga Ikulu mpya na ya kisasa hivyo Wakenya Siyo Wanyonge kwamba Rais wao akae Ikulu iliyochakaa
Source Citizen TV
Duale amesema Magufuli amejenga Ikulu mpya na ya kisasa hivyo Wakenya Siyo Wanyonge kwamba Rais wao akae Ikulu iliyochakaa
Source Citizen TV