Kenya Wampongeza Shujaa Magufuli Kwa Kujenga Ikulu ya Kisasa Dodoma, wasema Wao wanaikarabati ile ile ya Zamani Lakini Kwa gharama kubwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Mazingira wa Kenya mh Duale amewataka Wakenya wanaolalamikia ukarabati wa Ikulu ya Nairobi waende Tanzania au Misri wakaone Wenzao walivyo na Ikulu za kisasa

Duale amesema Magufuli amejenga Ikulu mpya na ya kisasa hivyo Wakenya Siyo Wanyonge kwamba Rais wao akae Ikulu iliyochakaa

Source Citizen TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…