Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
mahakamani kwenye haki hampataki msaidiwaje sasa?Ukitazama mpaka wa Tanzania na Kenya ni dhahiri Kenya wana haki ya kutetea eneo la bahari ambalo Somalia wanadai kuwa ni lao. Kama madai ya Somalia ni halali basi hata Kenya wangeweza kuibuka na madai kama hayo dhidi ya Tanzania. Madai kama haya nayafananisha na yale ya Malawi dhidi ya Tanzania. Hakuna mpaka namna hiyo.
Kiroho safi nawashauri Somalia waachane na hii kesi ili kuepuka kuingia kwenye vita isiyo na maana.
View attachment 1725749View attachment 1725751
Kumbe Kenya kaweka mpira kwapani!Kila kitu kipo wazi, tangia siku ya kwanza. Wanaowaunga mkono Somalia ni wachawi tu wenye chuki zao na nchi ya Kenya. Mipaka yote baharini ipo hivyo kuanzia Eritrea hadi S. Afrika. Kesi yenyewe inaanza kesho huko ICJ, ila serikali ya Kenya imetangaza kujiondoa na kutojishirikisha kwenye kesi hiyo. Nchi ya Kenya imesema haina imani na mahakama hiyo. Baada ya wao kutokubali ombi la Kenya la kuihairisha kesi hiyo kwa muda mwingine tena kwasababu ya janga la COVID-19. [emoji41]
Ukitazama mpaka wa Tanzania na Kenya ni dhahiri Kenya wana haki ya kutetea eneo la bahari ambalo Somalia wanadai kuwa ni lao. Kama madai ya Somalia ni halali basi hata Kenya wangeweza kuibuka na madai kama hayo dhidi ya Tanzania. Madai kama haya nayafananisha na yale ya Malawi dhidi ya Tanzania. Hakuna mpaka namna hiyo.
Kiroho safi nawashauri Somalia waachane na hii kesi ili kuepuka kuingia kwenye vita isiyo na maana.
View attachment 1725749View attachment 1725751
Counsel wa kimataifa ambao walikuwa wanaiwakilisha Kenya hawajaweza kufika ICJ, kisa wanatoka nchi ambazo zimewabana kusafiri kwasababu ya janga la COVID-19. Sasa kama hiyo sio hoja halali ya kuihairisha kesi hiyo kwa muda, sijui kama kutakuwepo na hoja nyingine ya kuzingatiwa kwenye kesi hiyo.Kumbe Kenya kaweka mpira kwapani!
Uamuzi wao utakuwa 'null and void'. Bila submission zozote za defence team(yaani Kenya) majaji watawezaje kufikia uamuzi ambao utazingatiwa kuwa wa kweli na wa haki?Uamuzi wa ICJ ukishatoka ndio imeshakula kwa Kenya, kitakachofuata ni Somalia kufanya auction ya oil blocks tu halafu mtapambana na mabeberu na drill ships zao.
Mipaka yote duniani iko ivo. Mabeberu wamechonga dili na Somalia ili waibe mafuta ambayo kimsingi yapo Kenya.Wewe unatoa wapi mamlaka ya kusema kenya ina haki kwa 100%!!?
Unaijua dunia wewe!?Mipaka yote duniani iko ivo. Mabeberu wamechonga dili na Somalia ili waibe mafuta ambayo kimsingi yapo Kenya.
Haujui unaweza kuhukumiwa hata usipokuwepo, yaani strategy ya Kenya imekuwa kukimbia kesi kwa visingizio kila siku, sasa muda huu mahakama imewachoka, kesi itaendelea, hukumu itatoka halafu tuone kama hilo eneo litakuwa salama kwa Kenya baada ya hukumu.Uamuzi wao utakuwa 'null and void'. Bila submission zozote za defence team(yaani Kenya) majaji watawezaje kufikia uamuzi ambao utazingatiwa kuwa wa kweli na wa haki?
Hii ni international law jombaa, mzozo wa mipaka, sio kesi kienyeji ya wizi wa mbuzi.Haujui unaweza kuhukumiwa hata usipokuwepo, yaani strategy ya Kenya imekuwa kukimbia kesi kwa visingizio kila siku, sasa muda huu mahakama imewachoka, kesi itaendelea, hukumu itatoka halafu tuone kama hilo eneo litakuwa salama kwa Kenya baada ya hukumu.