ufisadi ni tabia, haijalishi una mfumo mzuri namna gani, kama huna maadili ukiwa kiongozi ni tabu tupu.
Katiba Nzuri yenye kuwafanya kutambua na kubariki ufisadi, lakini haina uwezo Wa kuzuia na kupambana na ufisadi, only in Kenya hiyo ndio definition ya katiba Nzuri, kutambua bila kuzuia ufisadi.Ni katiba nzuri inayofanya tutambue tuna ufisadi. Tungekuwa nayo ovyo kama Tanzania tungekuwa tu kama wao - yani kuna ufisadi na hatujui kama upo, tunadhani haupo.
Very funny [emoji23][emoji23][emoji23]Katiba Nzuri yenye kuwafanya kutambua na kubariki ufisadi, lakini haina uwezo Wa kuzuia na kupambana na ufisadi, only in Kenya hiyo ndio definition ya katiba Nzuri, kutambua bila kuzuia ufisadi.