Kenya wana uwezo wa kupima watu 35,000 kwa siku, Tanzania uwezo ni 500 kwa siku, ni aibu na fedheha kwa taifa tajiri kama hili

Sasa mbona daily test hazijavuka 1200? What's the mining of having 35000 n daily tests r less than the capacity?
 
Sio kweli aisee naangalia KTN hapa leo Kenya wamepima 1000 people only na toka waanze kupima, wamepima total ya 20,000 people hawajafika hata hiyo 35K unayosema
 
Wewe una macho au una makengeza? Maendeleo gani unayoyaona toka huyu Kichaa ameyafanya?
Huduma gani za afya zimeboreshwa? Mnashangilia maujinga ya kukaririshwa tu!
LOL yaani wewe taahira kweli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Magufuli utamsema kote lakini kwenye hilo la sector ya afya halooooo hold your horses idiot, you won't get none to convince, Hakuna mtanzania nchi hii asielijua hilo.

Tuondolee akili za mbuni kufukia kichwa kwenye mchanga huku mpododo wote upo on air live live
 
Hamna Wakenya wanaingia kwenye hii JF usijidanganye. Wakenya wako next level siyo mamburula kama nyinyi. Hangaika na mambo yenu
LOL 🀣🀣🀣🀣 sasa mbona unataka kulia?

Watanzania wamewakataa ninyi mnaotaka kutuletea ushoga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Fifty people reportedly died in Dar es Salaam, Tanzania, days after the neighbouring nation's pastor mocked Kenya's efforts to curb Coronavirus (Covid-19).

On Thursday night, April 30, NTV reported that Tanzania's opposition leaders accused President John Pombe Magufuli of hiding information on Coronavirus deaths as their government reported that only sixteen deaths had been recorded.Tanzania reported her first case on March 16, and in the last two weeks of April, their cases jumped to 480 as Magufuli declined to set up more measures to prevent the spread of the disease as churches and market centres are still open.

In mid-April, A Tanzania pastor, Josephat Gwajima, sparked outrage after he trolled Kenya and Rwanda for recording Coronavirus cases, arguing that the pandemic escalation in the two nations was due to enforcement of strict rules to battle Covid-19 which included banning church gatherings.

"Corona decided to act on them because they were not going to church. Kenya also closed its churches but has 113 cases with three already dead," Gwajima blatantly stated, further adding that Kenya had not recorded any recoveries

Tanzania's upsurge of Coronavirus cases continues to raise more questions on the safety of other nations, despite President Uhuru Kenyatta (Kenya), Yoweri Museveni (Uganda) and Pombe of Tanzania holding joint meetings on how to protect their borders.

With truck drivers highlighted as carriers of the disease, the three nations resolved to have the drivers tested, before disembarking on long-distance journeys.

"As part of our strategy to fight the Coronavirus disease, all the cross border truck drivers will be tested for the virus. As members of the East African Community (EAC), we have agreed on a protocol that will ensure seamless clearance at the border points, all Kenyan truck drivers shall be tested on exiting Mombasa," Kenya's Health CAS Rashid Aman stated.
On Wednesday, April 22, Kenyans.co.ke analysed the transmission of the disease across borders, as analyst warned that Magufuli's recklessness would jeopardise Kenya's Covid-19 war.

 
Fake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In Kaloleni, Mohammad (not his real name), chain smoked cigarettes by the door, taking long drags, tilting his head, and blowing the smoke outside, while his girlfriend breastfed their newborn baby on the bed.

β€œIt’s scary that our government seems even less worried than European governments,” said Mohammad, his eyes wide and anxious.

β€œWe need the government to take more drastic measures. They need to completely shut the border. They cannot afford to let this get out of control. Europe has an advanced healthcare system, while we don’t even have enough doctors as it is.”

β€œWe’re not rich like Europe, and they can’t even control this virus,” he continued. β€œImagine what would happen to us here in a country like Tanzania?”

β€œThe government tells us not to panic. But they seem so relaxed about this, and it’s making us panic even more. If this thing continues to spread here, many of us are going to die.”
 
its not the resources in the land
its the people that are a resource
lol chasing that cheap publicity, you staged that kid as to draw sympathy from the viewers but that's not even an innovation, it's an old seasoned thing almost everywhere here


 
LOL 🀣🀣🀣🀣 sasa mbona unataka kulia?

Watanzania wamewakataa ninyi mnaotaka kutuletea ushoga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wewe mwenyewe shoga tayari sijui ushoga unaukataa mitandao tu. Kama nchi inageuka omba omba kwa Wazungu lazima mgeuzwe tu. Angalia mnavyobembeleza kufutiwa madeni na WB!!

Sasa hivi hata Bajeti ya kupambana na COVID19 mnasuburi kuomba Ufaransa, alipokuwa Prof Kabudi last month, wataacha kuwafanyiza ushoga? Jiandaeni kupanua matako tu Naton Jr
 
Kwa hiyo mkiwapima leo mnawaambia hawajaambukizwa hawaambukizwi milele?
 
Sisi ni dona kantri ila tunadoneti chato tu..
 
Nakumbuka hapo awali, nchi za A.M. zilipoanza kutangaza kesi za kwanza za maambukizi ya Corona nililiuza swali simpo sana kuhusu test kits, maabara na uwezo wa kupima virusi vya COVID-19 nchini Tz. Wale wanakwaya wa kawaida Naton Jr na Oii wakatupia matusi chungu nzima huku wakijimwambafy kwamba wana maabara mengi sana na eti yametapakaa Tz nzima.

Walijaza server na pumba, kurasa baada ya kurasa kwenye uzi huo, wakituletea taarifa za vipima joto na wala hawakutaka kuelimishwa kuhusu vipimo sahihi vya virusi vya COVID-19. Sekta ya elimu nchini Tz ni majanga tupu na kama majirani hamtabadilika janga hili la Corona litaendelea kuumbua umbumbumbu wa BAADHI ya watz na sanasana viongozi wao. Rwanda yawa nchi ya pili kukumbwa na Corona Afrika mashariki - JamiiForums
 
One country was trying to hide information.

 
Watakuambia....
Hamia kenya mkuu, katiba inakuruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…