Kenya wanakataza kuvaa nguo za kijeshi?

Kenya wanakataza kuvaa nguo za kijeshi?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).

Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?

NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
 
Gen Z
 
Nchini Venezuela unaweza hata ukapewa kesi ya uhujumu uchumi kisa tu kuvaa hayo mavazi huku ukishikiliwa na watu wasiojulikana
 
Kama sio sare za jeshi husika sioni kosa,mimi ninaza jeshi la korea kaskazini huwa natinga suruali yake na hakuna kenge wakunikamata
 
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).

Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?

NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
Pia huu ndyo uwendawazmu asilimia kubwa ya majobless sjui hata waweza kusema iv elmu yake yakufkr ndy imeshia hapa yaahn sheria ya kenya na Tz lazm ifanane kla nch na sheria zake
 
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).

Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?

NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
Utajuaje hizi ni nguo za kijeshi na hizi zinafanana tu na nguo za kijeshi lakini si za kijeshi?
 
Yule bw.mdogo sijui zile mambo hupata wapi.
Huenda kenya sheria zao sio kali kwenye mambo hayo.

Kuna video yake moja alikua na mavitu kibao ya mashirika ya umma hadi mlango wa ndege 😂😂
ile clip jamaa anafanya kazi polisi kochi lina kitambaa cha Kenya road authority chupi kavaa ya NHF lango wa bafu una stika ya Kenya airways bafuni anajisugulia na reflector ya taasisi gani sijui kitandani kuna shuka la hospitali kuu ya kenya 😂😂😂
 
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).

Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?

NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
Kwa mambo ya filamu inaruhusiwa kuomba nguo rasmi za polisi, unaandika barua rasmi Kwa kamanda wa kituo au Kambi ya eneo hilo, ukitaka hata wanaeza kukupatia mbunduki upige nazo filamu na watatuma polisi kuja kuhakikisha hautumii hizo silaha vibaya, hawatakupea risasi lakini.

Kama hii filamu hapa

View: https://youtu.be/tzPqF0w9-HI?feature=shared
 
Back
Top Bottom