Katika kile kinachoonyesha kuchoshwa na tabia ya polisi kuachia watuhumiwa katika mazingira ya kutatanisha, wananchi wa wilaya moja nchini kenya wamebeba maiti umbali wa maili kadhaa na kwenda kuibwaga mlango wa kuingilia ofisini kwa mkuu wa wilaya hiyo ikiwa ndani ya jeneza na kuondoka kwa madai ya kuwa marehemu aliuwawa na majambazi na kisha mmoja wa watuhumiwa wa mauaji hayo kukamatwa na polisi.
Lakini cha ajabu kabla hata ya mazishi polisi walimuachia mtuhumiwa huyo na kuanza kupiga kilaji mitaani kwa mbwembwe kitendo kilicho waudhi wakazi hao hadi kuchukua uamuzi wa kumuachia maiti hiyo mlangoni ofisini na kuondoka kushinikiza hatua za haraka zichukulie dhidi ya wauaji hao.
Kwa mujibu wa ITV haijajulikana sakata hilo limeishaje.
Kazi kweli tabia hii hata bongo ipo sana tu