Walikuwa na vyuma Babu. Kauli za kishujaa kwenye mitandao tu.Bongo mtu alitekwa ndani ya basi abiria wote kimyaa wakati tulikubaliana kwa sasa mtu akija kukamata bila kitambulisho tunamchangia kumpiga
Hahaha! Dah!Walikuwa na vyuma Babu. Kauli za kishujaa kwenye mitandao tu.
Nani angepambana na wajuba zaidi ya wawili (kwa mujibu wa maelezo ya shuhuda) wenye manati ya chuma zile manati za mzungu?
Wanakumwaga ubongo kwanza kisha wanaonesha vitambulisho kwamba uliwazuia kufanya kazi yao.
Natamani sana hilo zali la kumwagwa ubongo huo mkono ntakavyoutembezaWalikuwa na vyuma Babu. Kauli za kishujaa kwenye mitandao tu.
Nani angepambana na wajuba zaidi ya wawili (kwa mujibu wa maelezo ya shuhuda) wenye manati ya chuma zile manati za mzungu?
Wanakumwaga ubongo kwanza kisha wanaonesha vitambulisho kwamba uliwazuia kufanya kazi yao.
Utautembezaje huo mkono wakati umeshamwagwa ubongo?😎Natamani sana hilo zali la kumwagwa ubongo huo mkono ntakavyoutembeza
Utautembezaje huo mkono wakati umeshamwagwa ubongo?😎
Mzukah!