Kenya: Wanawake wawili wafariki baada ya mkanyagano wakati wa kupokea chakula cha msaada

Comprehension is very important my friend. Tunaongelea mambo ya mafukari wakipigania chakula, na ndio maana na sema haya mambo hutokea kila mahali. Umenielewa?
 
Nyani [emoji205][emoji205]ni kiumbe chenye kufurahisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] [emoji117] [emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kwenye huo msongamano hawawezi kuambukiza korona ila wakitoka kwenda kujitafutia chakula wenyewe ndiyo wanaambukizana ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado mlimuona JPM hana akili aliposema kuna nchi 8 zinatutegemea.

Imagine hapo hatujafunga mipaka jirani zetu wameanza kukipata cha moto. Je tukifunga si watakufa waishe kabisa?

God save us
na mutapata wapi soko la mazao yenu wakati nyinyi munanuka ufukara??? haha
 
limeni kwa wingi. soko liko na pesa pia ipo.
 
Ni wakati wa kuikimbia miji mikubwa
Tanzania kwa sasa hakuna mzunguko mzuri wa pesa, huku majirani wamefunga mipaka na huku pia gonjwa la Corona linazidi kuota mizizi.
hali ni mbaya sana.
 
Reactions: Oii
Tanzania kwa sasa hakuna mzunguko mzuri wa pesa, huku majirani wamefunga mipaka na huku pia gonjwa la Corona linazidi kuota mizizi.
hali ni mbaya sana.
Hapo pembeni ya mji si kuna Nairobi National Park ni kwenda huko usiku kujitafutia kitoweo
 
wewe ni mkulima bana... hapana leta nyef nyef mingi. rudi shambani ulime,,, pesa iko.
Hapo umejitutumua kweli kunijibu huku njaa ikiwa imepanda mpaka kwenye ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…