Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Muswada umepita kwenye bunge la kenya wafanyakazi wote wa sekta binafsi watakao athirika na janga hili kwa kutokuwa kazini wanaruhusiwa kuchukuwa sehemu ya peshion zao kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ili ziwasaidie wakati huu ambao hawalipwi mishahara kutokana na CORONA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app