Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Hata bunge la Tanzania leo limejadili hoja ya serikali kulipa mishahara ya shule za binafsi na huenda kesho ikapitishwa.Muswada umepita kwenye bunge la kenya wafanyakazi wote wa sekta binafsi watakao athirika na janga hili kwa kutokuwa kazini wanaruhusiwa kuchukuwa sehemu ya peshion zao kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ili ziwasaidie wakati huu ambao hawalipwi mishahara kutokana na CORONA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kuna la kuiga hapa
Walimu wa shule binafsi na vyuo binafsi watakuwa mstari wa mbele kabisa
Hiyo mifuko ya hifadhi ya jamii ipo tu kwa majina, kifupi imesha firisika kitambo....
Wanaonufaika Ni wanasiasa na vibaraka wachache wanaotafuna pensheni za watu zaidi ya mchwa...
Mrejesho kwenye hili mkuuHata bunge la Tanzania leo limejadili hoja ya serikali kulipa mishahara ya shule za binafsi na huenda kesho ikapitishwa.
CCM hoyeeee!
Hakika mkuu,jamaa wana mbwembwe nyingi wkt mfuko hauna kitu aiseee.
Lkn hua hawana aibu kujitapa,tuna mapesa mengi sana.