joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Hii sasa ni zaidi ya laana, kijiji kimoja wasichana 20?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka ulisoma ,"Literature " kweli?, main subject ya huu uzi ni mimba au wasichana 20 toka kijiji kimoja kupata mimba?Mkuu we unaongelea ya kenya?
Shule zinafunguliwa kesho nenda kapate takwimu za wasichana ambao hawajaenda shule wapo nyumban wanalea mimba!
Ishu ya mimba kipindi cha korona ni mtikisiko mwingine mashuleni.