Kenya: Wasicha wa shule 20 toka kijiji kimoja wapachikwa mimba ndani ya kipindi cha Corona

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE; Hii sasa ni zaidi ya laana, kijiji kimoja wasichana 20?.
 
Mkuu we unaongelea ya kenya?

Shule zinafunguliwa kesho nenda kapate takwimu za wasichana ambao hawajaenda shule wapo nyumban wanalea mimba!

Ishu ya mimba kipindi cha korona ni mtikisiko mwingine mashuleni.
 
Kaka ulisoma ,"Literature " kweli?, main subject ya huu uzi ni mimba au wasichana 20 toka kijiji kimoja kupata mimba?
 
Hi ni hatari.wakenya wanapenda sana ku kwich kwihmch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…