Kenya Watafuta Mkopo Wa Mabilioni China

Juzi kati Bandari ya Mombasa ilitaka kuchukuliwa na wachina baada ya kushindwa kulipa deni.Bado hawakomi tu?
 
Eh huo ndio uongozi boraaa kukopa sio dhambi kama una invest ... Naona UK ana itransform kenya through mikopo na wana invest ktk miradi ya miundombinu na ma SGR this time inataka ijengwe ya kutoka Kisumunkwenda wapi ? I guess eldoret kwa VP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…