KENYA: Watu 30 wamefariki baada ya Basi kugongana na Lori

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Takribani watu 30 wamefariki dunia na wengine 17 wamejeruhiwa baada ya basi kugongana na Lori katika eneo la Migaa njia Kuu ya Nakuru kuelekea Eldoret

Mpaka sasa miili 28 imetolewa kwenye basi na juhudi za kutafuta miili mingine linaendelea.

=======


At least 30 people have been confirmed dead after a Nairobi-bound bus collided with a truck at Migaa along the Nakuru-Eldoret highway.

Among the dead include the driver of the truck and his loader while 28 bodies were retrieved from the ill-fated bus.

The truck was heading to Eldoret.

Seventeen other people were seriously injured in the crash which occurred at around 3.30am Sunday.
 
RIP.........poleni wote mlofikwa na msiba huu
 
Poleni sana Wakenya kwa msiba huo uliowakuta.

Mungu wapokee waja wako na uwape makazi salama.
 
duu hii sasa ni janga maana kila wiki ajali basi za abiria...serikali imelegea sana hapo, inabidi waanze kufutiwa leseni madereva wazembe na mwendo uwe si zaidi ya 80 maana wananchi wanapoteza maisha katika spidi ya ajabu..
lakini maeneo ambayo ni hatari sana kwa ajali za mara kwa mara inabidi serikali kuweka alama za kutosha na pengine kuboresha barabara maana japo madereva wanapata lawama wakati mwingine barabara zinachangia..
 
Asee December huku Kenya huwa imelaaniwa. Hizi ajali za barabarani zimezidi. R.I.P, to our departed brothers.
 
Mpaka Sasa wamefkia 36
Walio agadunia dhaaa!!
So sad Pole sana wafiwa
 
Mwaka unaisha vibaya kwa wanafamilia, lakini ndio mapenzi ya Mungu. RIP
 
Daaaa! poleni sana, ila serikali ya Kenya nayo sasa idhibiti mwendo kama tz, mwisho speed ya juu iwe 80km/h
Mid income hawana udhibiti mwendo kama Tz? Ajabu.
RIP
 
No, sio mapenzi ya Mungu. Ni uzembe wa wanadamu
Unaweza kuwa sahihi, lakini unapo poteza ndugu yako unatafuta maneno ya faraja. Na mara nyingi ni kuridhika na kazi ya Mungu.
 
What is the cabinet secretary of transport still doing in office. 300 people have died so far in December. This is totally unacceptable. But that will not happen, because this is Kenya
 
Aisee.. Poleni sana wakenya! Hapo nusu mlingoti inahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…