KENYA;- WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA GARI KUKANYAGA BOMU MANDERA

jamaa inawezekana kuwa hakukuelewa ama hafaham fika maana ya neno futari
 

Kitenzi cha nomino futari ni futuru, kula futari = kufuturu.
 
Umefutari=umefurahi
Hahaha! Ati.watanzania wanajua Kiswahili?
Haujui maana ya neno kufutari?

Heri basi ukome kusahihisha Kiswahili cha wengine humu, ujitathmini wewe kwanza. Duh!
 
Jeshi letu liko imara sana, na inapambana nao vilivyo huko Somalia, hivi kuwasambaratisha kabisa maghaidi hawa.

Hawa wangechukua mamlaka huko Somalia, kanda hili lingekuwa hapako salama kabisa.

Kenya kama jirani na Somalia haikuwa na budi ila kuingia Somalia. Kuweka majeshi yetu mpakani haingekuwa hatua ya kutosha; hawa magaidi walikuwa wakiendelea kupata nguvu zaidi ndani ya Somalia.

Tuna majeshi yetu mpakani, pamoja na mle ndani mwa Somalia. Ndio maana Kenya leo ni nchi salama zaidi ikivyokuwa miaka minne iliyopita.
 
Kufutari ndio nini ? Zeeka vizuri basi
 
Hayo niyako
Lakini huko mie siko
Nacho kizungumzia ni kile kinacho onekana
Imalisheni ulizi wenu kwanza,
Somalia ni mfupa ulio mshinda fisi
Somalia wana ideologists za ISIS, kuexpand Islamic lands. So hata majeshi ya Kenya yakitoka Somalia, bado wataattack Kenya. They want to extend their boundaries. Unakumbuka before Kenya waende Somalia, they used to enter Kenya and attack people here, at one time wali kidnap watu. So Kenya ikitoka Somalia, ita harass Kenyans zaidi
 

Dini gani inatuma kuua mwanadamu mwenzie!
Hawa wanaichafua dini tu
 
ooooh nimekuelewa sasa....kumbe ni hili jambo la Kenya vs TZ...haya nimekubali...wanajeshi wetu ni hovyo...I assume sasa utasema TZ forces are stronger...right?
We're in the same boat, hata TZ kuna hawa jamaa hapa Kibiti wanageuka kuwa kero sasa... Ninahofia wasije kuwa new boko harram...
 
Mbona unanilazimisha kusema kitu tofauti na nilichokusudia, kwani kwenye huu mwezi kawaida jioni huwa mnakula nini hicho kama sio futari.
Heheheheh! Msamehe bure, sio kila Mtz anajua Kiswahili (maana ya kufutari)...
 
Heheheheh! Msamehe bure, sio kila Mtz anajua Kiswahili (maana ya kufutari)...
Namuelewa dada huyo aganza. Yeye mkristo, pengine haya mambo ya kiislamu hayaelewi, hayajui.

Hata kuna misamiati fulani katika dini ya kikristo waislamu wengine hawayajui yanamaanisha nini, wala kiyasikia.
 
pole kwa familia zao....dah! naona wakenya wa kawaida wahamishwe kule wabaki wanajeshi pekee yake....hawa jamaa sioni kama watawahi kuisha..ni bora serikali iwahamishe raia...ila nimeshangazwa.....MOTOCHINI kafurahi watu wakifa...
kuhamisha raia ni dalili ya kushindwa mkuu,vipi kama wakivamia Nairobi,bado raia watahamishwa?,cha msingi ni kuongeza ulinzi na kuwafagilia mbali hao magaidi
 
Linda mipaka yako
Hilo tu
 
kuhaisha raia ni dalili ya kushindwa mkuu,vipi kama wakivamia Nairobi,bado raia watahamishwa?,cha msingi ni kuongeza ulinzi na kuwafagilia mbali hao magaidi
Walivamia Wastegate vipi walihamisha
Hawa watu hovyo kabisa
 
Namuelewa dada huyo aganza. Yeye mkristo, pengine haya mambo ya kiislamu hayaelewi, hayajui.

Hata kuna misamiati fulani katika dini ya kikristo waislamu wengine hawayajui yanamaanisha nini, wala kiyasikia.
Misamiati kwenye dini ya kikristo
Wacha kuhadaa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…