Kenya: Waumini waliofariki kwa njaa katika mfungo wafikia 15

Kenya: Waumini waliofariki kwa njaa katika mfungo wafikia 15

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Update: 8 more bodies exhumed from Shakahola; 15 bodies exhumed in 2 days

8 more bodies have been exhumed on the second day of exhumation at the Shakahola area, Kilifi county. This brings the total number of bodies exhumed in two days at 15.

The 15 bodies have been exhumed from three gravesites out of a total of 52 gravesites marked by the police.

The 8 bodies exhumed earlier today were from one grave site which had four graves. Two graves had three bodies each while two other graves had a body each.

Cult leader Paul Mackenzie behind the ‘Jangwani’ cult as his followers referred to remains in police custody.

Source: ntvkenya

++++++++++++

Idadi hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa kudanganywa na Mchungaji Paul Makenzie Nthenge wa Kanisa la Good News International ambapo walifunga kutokula hadi mauti yalipowakuta.

Awali iliripotiwa vifo vya Waumini 4 na kuwaokoa wengine 11 msituni wakiwa katika hali mbaya katika msitu wa Shakahola ambapo ilidaiwa kuna kaburi ambapo huzikwa waumini wanaofariki kutokana na mfungo.

Miili iliyopatikana imetolewa kwenye makaburi matatu kati ya makaburi 52 yaliyowekwa alama na Polisi kwa ajili ya uchunguzi.
 
Sasa huyo mchungaji wataalamu au forensic watamuitaje
Muuwaji ama maana kama amewafukia na kuficha maovu yake basi ni Serial killer huyo
 
Back
Top Bottom