Kenya: Waziri wa Fedha almanusura apigwe na mwananchi mwenye hasira Baada ya kusoma Bajeti na Kutoka nje kupiga picha

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Fedha wa Kenya amenusurika kupigwa na Mmachinga ( juakali) mara Baada ya kumaliza kusoma Bajeti na Kutoka nje ya Bunge kupiga picha na Wasaidizi wake

Police walifanikiwa kumkamata kijana huyo kabla hajamfikia Waziri

Source: Citizen TV

Kenya Hakunaga Yanga, Mlale Unono πŸ˜€
 
😁😁😁 Majirani zetu wamechangamka , majuzi kati kuna mtu alining'inia kwenye hellicopter ya kiongozi , leo tena kuna mtu alitaka kupora begi la bajeti
 
Kenya hawana mchezo wa kipumbavu kama Tanzania!
 
Hapo tu navyomsifia ny'ang'au! Harembi rembi kama sisiπŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜ΉπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Analeta masihara mbele ya wachumia juani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…