Kenya what can we learn from Rwanda's ultra-modern stadium built in 6 months

Duh! Ukilinganisha na ile inayojengwa na Nairobi County, inakaa kama Jua kali, hio ya kagame sasa ndo inaitwa stadium!
Sisi tutaendelea kujenga vidude tu, Yani serekali kuu imeshindwa kabisa mpaka inabidi county na timu binafsi ndo zianze kujipanga wenyewe bila kutegemea serekali kuu..

Anyways Dandora Stadium

Iko karibu kukamilika

Wazito FC nao wanaota kujenga ka Stadium Kao, Nothing impressive too

The night pictures are Bomu stadium in Mombasa.
 
Ni nzuri kuliko dare salaam stadium
 
Kagame ni kiongozi mwenye maono ya mbali sana, japo kuna kipindi majirani zetu walimtukana sana na kujenga uadui naye,
Hao majirani zenu ambao walimtukana ni majirani wenu gani, na walimtukana kwa sababu zipi?!
 
Hao majirani zenu ambao walimtukana ni majirani wenu gani, na walimtukana kwa sababu zipi?!

Wenyewe wanajua walitukanana kwa ajili ya nini, ila nakumbuka povu zilikua zinawatoka, kuna siku huyo Kagame hadi alijikuta anasema atamhit mtu, duh, yaani nusra magobole yatumike.
Lakini kwa sasa naona wametulizana wote.....
 
Nyinyi mnajaza tu football,
Hamna game ingine mnajua,
Always football na ikifika Kwa major tournaments mko zero,,,
It's time mwanze kujaribu other matches,,,,
Kama ni Raga or athletics,,kasarani hukaa kabisa,,,it's not always about football
 
Unataka Kufananisha football na Vitu vya Kipumbavu?
Halafu usisahau all your best players hapo Kenya premier League dream to play in Tz.
 
Naona umeamua kuhamisha goal posts
 
Unataka Kufananisha football na Vitu vya Kipumbavu?
Halafu usisahau all your best players hapo Kenya premier League dream to play in Tz.
Hakuna players wa maana Kwa local leagues za Africa,. Ni umaskini tu bado.
Na ujue rugby na Athletics zinalipa sana na si michezo za zero brains,
Kenya hatuko sawa football but ATLEAST other sports tunawakilisha poa east Africa( Uganda netball women team juzi walikuwa world cup UK
 
You say what? Maliza sentensi ama ukae kimya. "Aisee" ndio uporo wa juzi au nini? Wewe na ule mwengine wa kupumua "Mhh" mnaudhi. Na ule wazimu mwengine, kazi ni "cc Mahondaw" . Sijui Mahondaw ndio mhongo gani?

Hahah daah we mjinga umenichekesha sana aiseeee,hahah.

Haya bana.
 
Wenyewe wanajua walitukanana kwa ajili ya nini, ila nakumbuka povu zilikua zinawatoka, kuna siku huyo Kagame hadi alijikuta anasema atamhit mtu, duh, yaani nusra magobole yatumike.
Lakini kwa sasa naona wametulizana wote.....
povu zilikua zinawatoka, mapovu yalikuwa yanawatoka. tuusan njoo tukufundishe kiswahili cha Kenya 😎😎
 
Mngekua mko vizuri mngetufunga juzi
Kujisifia ujinga nako [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi mnajaza tu football,
Hamna game ingine mnajua,
Always football na ikifika Kwa major tournaments mko zero,,,
It's time mwanze kujaribu other matches,,,,
Kama ni Raga or athletics,,kasarani hukaa kabisa,,,it's not always about football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…