Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
For joto la jiwe who was yapping here how Kenya is not accepted across Africa I'm sure you are now swallowing your words. Kenya has just won the vote to determine who to represent Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka kipindi cha balozi Mahiga UN Tanzania ilikuwa Security Council.Tanzania ilishakamata hiyo nafasi na wala hatukuongea. Ninyi mnajaza servers
Angalieni tu msijedeclare national week holiday
Nakumbuka kipindi cha balozi Mahiga UN Tanzania ilikuwa Security Council.
Hizi revolving seats za mwaka mmoja si big deal.
Siku nchi ya Afrika ikipata permanent seat UN Security council, hapo tutazungumza pongezi.
FYI: Kenya imekuwa kwenye UN Security Council mara nne. Wakifanikiwa tena itakuwa ni kwa mara ya tano. Mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka wa 1998. Nchi za Afrika ambazo zimekuwa kwenye security council mara nyingi zaidi ya Kenya ni Ethiopia, Ghana na Gabon. Hizi nchi tatu zimekuwa kwenye UN Security Council mara sita.Tanzania ilishakamata hiyo nafasi na wala hatukuongea. Ninyi mnajaza servers
Angalieni tu msijedeclare national week holiday
Kenya imeshapata idhini ya AU na nchi za Afrika, baada ya kupata kura nyingi zaidi ya Djibouti. Kampeni sasa imeruka kwenye nchi za nje ya bara hili. Jamaica na Barbados tayari wataunga mkono Kenya. Hii ni baada ya ziara ya Rais U.Kenyatta kwenye nchi hizo mbili hivi majuzi.Mkapige magoti SADC. Ili kupata kura zao. Nilifanya biashari na makaburu Sana, wakati wa ukombozi
Hata ikiwa mara mia, kama si permanent seat bado ni peanuts.FYI: Kenya imekuwa kwenye UN Security Council mara nne. Wakifanikiwa tena itakuwa ni kwa mara ya tano. Mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka wa 1998. Nchi za Afrika ambazo zimekuwa kwenye security council mara nyingi zaidi ya Kenya ni Ethiopia, Ghana na Gabon. Hizi nchi tatu zimekuwa kwenye UN Security Council mara sita.
Hongera kwa kubadilisha rangi zaidi ya kinyonga. Yaani nchi za Afrika(AU), Tz ipo pia, zinapiga kura kwasababu ya makombo ya 'bwana mkubwa', U.N.*? *U.N.= Umoja wa Mataifa. [emoji1]Hata ikiwa mara mia, kama si permanent seat bado ni peanuts.
Unafurahia kwamba "sisi tumekula makombo ya bwana mkubwa mara nyingi kuliko nyie".
Ujinga mtupu.
Jifunze Kiswahili kwanza.Hongera kwa kubalisha rangi zaidi ya kinyonga. Yaani nchi za Afrika(AU), Tz ipo pia, zinapiga kura kwasababu ya makombo ya 'bwana mkubwa', U.N.*? *U.N.= Umoja wa Mataifa. [emoji1]
Upuuzi.Jifunze Kiswahili kwanza.
Halafu kama hujaelewa uliza, usi assume tu.
Bwana mkubwa ni nchi tano zenye permanent seats za UN Security Council, ambazo ni China, France, Russia, UK na US.
Hizi seats za kajamba nani za kubadilishana kila mwaka hata Tuvalu wanaweza kupata.
Kwa hivyo, siku Kenya ikipata permanent seat ya UN Security Council, njoo hapa tukupongeze.
Kabla ya hapo hiyo seat ni kajamba nani kila mtu anaikalia.
Sasa unajisifia kwa kukaa siti ya kajamba nani?
Kwanza umeelewa ulichoeleweshwa?Upuuzi.
Upuuzi ni pale wewe unapopigia jaramba habari za kula makombo ya bwana mkubwa mara nyingi kuliko wengine.Upuuzi.
For joto la jiwe who was yapping here how Kenya is not accepted across Africa I'm sure you are now swallowing your words. Kenya has just won the vote to determine who to represent Africa.
Kenya ndio itakuwa inaiwakilisha Afrika kwa muda wote ambao itakuwa kwenye UN Security Council, upende usipende. Fursa hiyo inapatikana kupitia lobbying sio nafasi rotational. Hakuna nchi ya Afrika ambayo ina permanent seat. Kwahivyo hoja yako hii ni hisia zako tu, za kibinti binti.Upuuzi ni pale wewe unapopigia jaramba habari za kula makombo ya bwana mkubwa mara nyingi kuliko wengine.
Mtu anayejitambua hawezi kujisifia seat ya kajamba nani ya UN ambayo unakalia mwaka mmoja unatoka anakuja kukalia mtu mwingine.
Wakati kuna Wamarekani tuna permanent seat na hatujisifii.
Unataka nikupe fursa ya kunielewesha upuuzi?Kwanza umeelewa ulichoeleweshwa?
Hata Tanzania iliwahi kukalia hicho kiti, most recently wakati Balozi Dr. Augustine Philip Mahiga akiwakilisha Tanzania hapo UN. I was there at Turtle Bay when it happened.Kenya ndio itakuwa inaiwakilisha Afrika kwa muda wote ambao itakuwa kwenye UN Security Council, upende usipende. Fursa hiyo inapatikana kupitia lobbying sio nafasi rotational. Hakuna nchi ya Afrika ambayo ina permanent seat. Kwahivyo hoja yako hii ni hisia zako tu, za kibinti binti.
Unataka nikupe fursa ya kunielewesha upuuzi?
[emoji1][emoji1][emoji1] Kama ni upuuzi na ni kitu cha kawaida sana mbona basi inakuuma sana jombaa?Hata Tanzania iliwahi kukalia hicho kiti, most recently wakati Balozi Dr. Augustine Philip Mahiga akiwakilisha Tanzania hapo UN. I was there at Turtle Bay when it happened.
So what is the big deal?
Ulimbukeni mtupu. Unalimbuka kwa kuachiwa makombo ya viti vya UN?
Unajisifia kukalia kiti cha kajamba nani?
What's next? Utajisifia Kenya imetiwa madole mara nyingi zaidi na Wamarekani kuliko Tanzania?
Mimi hata nikipiga chafya kwa reflex action, wewe amoeba utaona mafuriko, ndiyo maana kwa kukwambia fact tu kwamba hicho kiti si mali kitu, unaona inaniuma.[emoji1][emoji1][emoji1] Kama ni upuuzi na ni kitu cha kawaida sana mbona basi inakuuma sana jombaa?
Hujajibu swali nililokuuliza badala yake umeniuliza swali ambalo sijalihitaji.Kenya ndio itakuwa inaiwakilisha Afrika kwa muda wote ambao itakuwa kwenye UN Security Council, upende usipende. Fursa hiyo inapatikana kupitia lobbying sio nafasi rotational. Hakuna nchi ya Afrika ambayo ina permanent seat. Kwahivyo hoja yako hii ni hisia zako tu, za kibinti binti.
Unataka nikupe fursa ya kunielewesha upuuzi?
Okay.Mimi hata nikipiga chafya kwa reflex action, wewe amoeba utaona mafuriko, ndiyo maana kwa kukwambia fact tu kwamba hicho kiti si mali kitu, unaona inaniuma.
Iniume nini wakati sina hulka ya kushabikia ujinga?
Ningekuwa na hulka hiyo ningekwambia nchi yangu Marekani ina kiti cha kudumu Security Council UN, na wala sijawahi kushobokea hilo.
Wewe limbukeni. Unalimbuka tu.