Kenya woman, drugs in body from Addis Nigerians, in prison in Hong Kong

Kenya woman, drugs in body from Addis Nigerians, in prison in Hong Kong

MK254 poleni Sana, hili janga limemeza ndugu zetu wengi kwenye magereza na Mashimo ya Tewa mengi kwenye nchi za ughaibuni.
Mungu atuwezeshe kuishinda Vita hii ngumu
 
MK254 poleni Sana, hili janga limemeza ndugu zetu wengi kwenye magereza na Mashimo ya Tewa mengi kwenye nchi za ughaibuni.
Mungu atuwezeshe kuishinda Vita hii ngumu

Pole za nini, apambane na hali yake maana kajituma mwenyewe huko, wala hata sijaisoma ila kama ni alivyoeleza mleta mada, basi pole zimhusu yeye huyo sio mimi. Watu tunakesha tukipambana na majukumu yetu wengine wanataka njia za mkato, sasa huko alikua anawapelekea sumu ya madawa ya kulevya kuwafanya vijana wao wawe mazezeta.

Nina ndugu ninayempenda sana na ambaye ameshaathirka kwa kuwa teja, inavyouma huwa natamani sana nipewe uongozi wa kusimamia taasisi ya kupambana na walanguzi, aisei nitaingia nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango na kukomesha na kukomoa balaa.
 
Back
Top Bottom