Kenya yaanza kuchanganyikiwa, yasema wagonjwa wa Corona hawaambukizi, hakuna sababu ya kuwaweka Hospitalini, wataanza kuwarudisha majumbani mwao

Kenya yaanza kuchanganyikiwa, yasema wagonjwa wa Corona hawaambukizi, hakuna sababu ya kuwaweka Hospitalini, wataanza kuwarudisha majumbani mwao

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
The national government is set to release positive covid-19 patients from hospitals into their homes as new cases keep rising, CS Mutahi Kagwe hinted on Sunday

In the Sunday afternoon update by the ministry of health, the CS Mutahi Kagwe indicated that there were patients who cannot transmit the novel and would therefore be discharged

"We are planning on how we shall start releasing patients who we shall have confirmed are not capable of passing the virus to other people. We know there could be a risk and that is why we will do proper monitoring," stated CS Kagwe.

The government, the CS stated, will only consider isolating patients for a maximum of 14 days before letting them take up home-based cared

"Home-based care is not new. It is meant to relieve the pressure on the public hospital. There are guidelines that the WHO has given and we shall customize them for our domestic use," stated Dr Amoth.

He indicated that only asymptomatic persons shall be released on condition that they do not underlying conditions as diabetes or blood pressure related complications.

Patients shall be required to have a separate room at their homes and will be required not to allow any visitors into their room where they shall be required to isolate from the rest of their families.

ee4fd81634c88d6a82bd8c16e137036c

"You must have PEPs such as gloves and equipment such as thermometer to be able to to check on your temperatures. There has to be separate cutlery for the patients," stated Dr Patrick Amoth.

Amoth went further to note that persons who had been under isolation for at least 10 days, were at lower risk of transmitting the virus to a healthy population despite still testing positive for covid-19.

The Ministry announced 167 new cases, most of whom were reported from among truck drivers in Busia. Nairobi and Mombasa continue to record higher numbers.

Kenya to Release Covid-19 Patients From Hospitals Back to Their Homes, Health CS Kagwe Confirms

MY TAKE: Kama hujui unakokwenda, kila njia unayofuata ni sawa sawa, hakuna kupotea. Hahahaha, Hahahaha.
 
Kenya to Release Covid-19 Patients From Hospitals Back to Their Homes, Health CS Kagwe Confirms
MY TAKE: Kama hujui unakokwenda, kila njia unayofuata ni sawa sawa, hakuna kupotea. Hahahaha, Hahahaha.
wazee wa carfew,nn mbayaa!?😂😂😂😂
Sasa naona majirani mirungi imepanda kichwani hahaha!
Mnawatia watoto wa shule mimba na hii lockdown yenu uchwara.
Likizo ya Corona kwa wanafunzi: Wasichana 100 wapata ujauzito mkoani Mtwara
😁😁
 
Nyie wakenya mliovurugwa na Korona naombeni maana ya KUCHOCHA
Kabla tikuambie Soma hili

JamiiForums
Jukwaa la Siasa
Likizo ya Corona kwa wanafunzi: Wasichana 100 wapata ujauzito mkoani Mtwara
Thread startermiss zomboko Start dateToday at 5:02 PM
Tags corona wanafunzi
Jump to new
Ignore
Watch
miss zomboko
miss zomboko
JF-Expert Member
Today at 5:02 PM
New
Add bookmark
#1
Picha
MIKOA minne imetajwa kuwa kinara wa ndoa za utotoni kipindi hiki ambapo wanafunzi wapo majumbani, kutokana cha mlipuko wa ugonjwa wa corona.

Serikali ilitangaza kuzifunga shule zote za msingi, sekondari na vyuo Machi 17, mwaka huu kutokana na mlipuko wa janga hilo. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Mara, Arusha na Mtwara.
Kwa Mtwara wanafunzi 100 wameripotiwa kupata mimba katika kipindi hiki cha corona.
 
"We are planning on how we shall start releasing patients who we shall have confirmed are not capable of passing the virus to other people. We know there could be a risk and that is why we will do proper monitoring," stated CS
Kagwe. The government, the CS stated, will only consider isolating patients for a maximum of 14 days before
letting them take up home-based care.

Hii aya, ambayo ni maneno aliyoyasema waziri Mutahi Kagwe, nimeicopy paste kutoka kwenye taarifa hiyo hapo kwenye hiyo link. Aisee, viwango vya IQ na uelewa wa vitu simpo sana vimeshuka kwa kiasi kikubwa kwenye jukwaa hili. Itabidi Mods waanzishe jukwaa lingine ambalo watu wa sampuli ya mleta mada watakuwa wanajadili pumba zao. Kuna hatari kubwa sana ya kuambukizana ujinga hali ikiendelea kama ilivyo sasa hivi.
 
"We are planning on how we shall start releasing patients who we shall have confirmed are not capable of passing the virus to other people. We know there could be a risk and that is why we will do proper monitoring," stated CS Kagwe. The government, the CS stated, will only consider isolating patients
for a maximum of 14 days before letting them take up home-based cared.

Hii aya nimeicopy paste kutoka kwenye taarifa hiyo ya waziri kwenye hiyo link hapo. Aisee, viwango vya IQ na uelewa wa vitu simpo sana vimeshuka kwa kiasi kikubwa kwenye jukwaa hili. Itabidi Mods waanzishe jukwaa lingine ambalo watu wa sampuli ya mleta mada watakuwa wanajadili pumba zao. Kuna hatari kubwa sana ya kuambukizana ujinga hali ikiendelea kama ilivyo sasa hivi.
Hakuna scientific research yoyote iliyothibitishwa na WHO inayoonyesha kwamba baadhi ya wagonjwa wa Corona hawaambukizi.

Every active Covid -19 is a potential and highly infectious. Mumeshindwa kuwahudumia wagonjwa mnaanza sarakasi za kijinga. Failed state.
 
Hahahaha, pumbavu sana wewe, ujinga wenu pelekeni Kibera huko, hakuna scientific research yoyote iliyothibitishwa na WHO inayoonyesha kwamba baadhi ya wagonjwa wa Corona hawaambukizi.

Every active Covid -19 is a potential and highly infectious. Mumeshindwa kuwahudumia wagonjwa mnaanza sarakasi za kijinga. Failed state.
Kunyaland IQ na EQ zao ziko chini they depend copying and pasting from their masters beberus.
 
"We are planning on how we shall start releasing patients who we shall have confirmed are not capable of passing the virus to other people. We know there could be a risk and that is why we will do proper monitoring," stated CS Kagwe. The government, the CS stated, will only consider isolating patients
for a maximum of 14 days before letting them take up home-based care.

Hii aya, ambayo ni maneno aliyoyasema waziri Mutahi Kagwe, nimeicopy paste kutoka kwenye taarifa hiyo hapo kwenye hiyo link. Aisee, viwango vya IQ na uelewa wa vitu simpo sana vimeshuka kwa kiasi kikubwa kwenye jukwaa hili. Itabidi Mods waanzishe jukwaa lingine ambalo watu wa sampuli ya mleta mada watakuwa wanajadili pumba zao. Kuna hatari kubwa sana ya kuambukizana ujinga hali ikiendelea kama ilivyo sasa hivi.
Not capable to pass the virus to other people? Isn't this low iq, hao wagonjwa wasioambukiza ndio nimewasikia leo wanatokea kenya.
Huenda corona wenu ni hybrid, maana anakuwa active usiku, leo tena mmekuja na iyo corona +ve who doesn't affect others.
Nilikwambia nyinyi na viongozi wenu ni mafara, fortunately hukubisha
 
Hahahaha, pumbavu sana wewe, ujinga wenu pelekeni Kibera huko, hakuna scientific research yoyote iliyothibitishwa na WHO inayoonyesha kwamba baadhi ya wagonjwa wa Corona hawaambukizi.

Every active Covid -19 is a potential and highly infectious. Mumeshindwa kuwahudumia wagonjwa mnaanza sarakasi za kijinga. Failed state.
Elimu, elimu, elimu, hizi akili hata sio za dropout wa darasa la tatu au labda lugha gongana pia ni tatizo kubwa. Kwa pumba zako hizi na pia kwenye mada yako kwenye uzi huu. Umedhihirisha wazi kwamba hujakidhi vigezo vya kujadili nami au mtu yeyote yule mwingine mwenye akili timamu, achilia mbali kuitwa 'great thinker'.
 
Not capable to pass the virus to other people? Isn't this low iq, hao wagonjwa wasioambukiza ndio nimewasikia leo wanatokea kenya.
Huenda corona wenu ni hybrid, maana anakuwa active usiku, leo tena mmekuja na iyo corona +ve who doesn't affect others.
Nilikwambia nyinyi na viongozi wenu ni mafara, fortunately hukubisha
Huyu jamaa chizi kweli, yeye kila kitu lazima ajaribu kupaka sukari ili kutetea ujinga wa Serikali ya Jubilee, hovyo sana huyu jamaa.
 
Kabla tikuambie Soma hili

JamiiForums
Jukwaa la Siasa
Likizo ya Corona kwa wanafunzi: Wasichana 100 wapata ujauzito mkoani Mtwara
Thread startermiss zomboko Start dateToday at 5:02 PM
Tags corona wanafunzi
Jump to new
Ignore
Watch
miss zomboko
miss zomboko
JF-Expert Member
Today at 5:02 PM
New
Add bookmark
#1
Picha
MIKOA minne imetajwa kuwa kinara wa ndoa za utotoni kipindi hiki ambapo wanafunzi wapo majumbani, kutokana cha mlipuko wa ugonjwa wa corona.

Serikali ilitangaza kuzifunga shule zote za msingi, sekondari na vyuo Machi 17, mwaka huu kutokana na mlipuko wa janga hilo. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Mara, Arusha na Mtwara.
Kwa Mtwara wanafunzi 100 wameripotiwa kupata mimba katika kipindi hiki cha corona.

Niambie tu, hapo dp umemuweka JPM mwamba asieyumbishwa na mabeberu

Hni
 
Elimu, elimu, elimu, hizi akili hata sio za dropout wa darasa la tatu au labda lugha gongana pia ni tatizo kubwa. Kwa pumba zako hizi na pia kwenye mada yako kwenye uzi huu. Umedhihirisha wazi kwamba hujakidhi vigezo vya kujadili nami au mtu yeyote yule mwingine mwenye akili timamu, achilia mbali kuitwa 'great thinker'.
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha, nenda kajisaidie ktk mifuko ya plastic huko Kibera msubiri wagonjwa wa Corona wanawarudisha hapo Kibera muanze kuambukizana, mtakufa kama wadudu mkiendelea kuwasikiliza viongozi wenu wakiwadanganya kwasababu wanajua ninyi wote ni wapumbavu kama wao lazima mtawaamini kila watakalowaambia.
 
Hao wataunga juhudu za Magu hivi karibuni...wanajifanya kufanya mass testing..hivi wataweza kuwa contain positive wote..coz hv virusi watu huenda wanavyo tu mwilimi mwao..na wengine haviwaletei madhara..Sasa kwakuwa wenyewe Ni vichwa ngumu wanataka kila alitepositive wamuweke quaranteen..matokeo yake ndo hayo..hospitali zimejaaa..mkopo unaelekea kukata.
Na wanataka watu wawe na separate room hiyo itakua applicable Kule Kibera kweli?
IMG_20200607_210917.jpg
 
"We are planning on how we shall
start releasing patients who we
shall have confirmed are not
capable of passing the virus to
other people. We know there could
be a risk and that is why we will do proper monitoring
," stated CS
Kagwe. The government, the CS
stated,
will only consider isolating patients
for a maximum of 14 days before
letting them take up home-based care.
"
Not capable to pass the virus to other people? Isn't this low iq, hao wagonjwa wasioambukiza ndio nimewasikia leo wanatokea kenya.
Huenda corona wenu ni hybrid, maana anakuwa active usiku, leo tena mmekuja na iyo corona +ve who doesn't affect others.
Nilikwambia nyinyi na viongozi wenu ni mafara, fortunately hukubisha
Soma hizo sehemu zingine bolded mara tatu kisha urejee upya. Muwe na mazoea ya kujichambulia taarifa kwanza kabla ya kuanza kujadili hoja. Sio mnasoma tu maelezo ya kiboya ya mleta mada kisha kwa uvivu wenu mngoja mchambuliwe na wengine.
 
Sasa kama hawaambukizi wao walipata wapi? Au walizaliwa nao?
 
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha, nenda kajisaidie ktk mifuko ya plastic huko Kibera msubiri wagonjwa wa Corona wanawarudisha hapo Kibera muanze kuambukizana, mtakufa kama wadudu mkiendelea kuwasikiliza viongozi wenu wakiwadanganya kwasababu wanajua ninyi wote ni wapumbavu kama wao lazima mtawaamini kila watakalowaambia.
Kwhyo unaamini km corona bado ipo[emoji23][emoji23]
Umeongea mpka ukajisahau km hao watu wanaotaka kuachiwa wamwpimwa na vile vile vipimo amabavyo walipimia madereva wenu..
Kulingana na kauli yako unaunga juhudi za kupambana na corona linapokuja swala la upande wa kenya, lkn kibongo bongo bado unaipuuza kisa jiwe kasema huna budi kunengua[emoji23][emoji23]
Kweli ccm ni km ng'ombe tu, halafu rais wenu anawadanganya hadharani eti kumebaki wagonjwa wanne..

We sasa unapinga nn watu wasihudumiwe nyumbani wakati hko kwenu hata hampimani mitaani na bado watu wanadunda..kweli dogo upo desperate sana[emoji382][emoji382][emoji382]
 
Back
Top Bottom