joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kuna kila dalili kwamba Kenya imeanza kukumbwa na wimbi jipya la maambukizi ya virusi vya Corona baada ya idadi ya maambukizi mapya kuongezeka kwa kasi katika siku za hivi karibuni.
Hii inatokea wakati wakenya wapo katika kipindi cha maombi kumuomba Mungu asaidie kumaliza Corona, lakini ni dhahiri kwamba Mungu wa wakenya ameamua kuwafungia vioo kwa kutowadikiliza kwa kila wanalomuomba.
Je unawashauri wakenya wafanye nini ili kutokomeza Corona?