joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Siku hizi hatoi tena updates za kirusi wakati miezi michache iliyopita ndio ilikuwa kazi yake humu jukwaani,Yule aliyekuwa amesema Tanzania imejichokea yuko wapi?? Haha kumbe wenyewe ndiyo watakaojichokea ile mbaya.
Dawa yake ni kutokupima tu kama sisi!Walisema wanatumia sayansi kupambana na COVID-19 wakatubeza sisi watz eti tunatumia mbinu za Kijeketile!! Waache waipate joto ya jiwe! Wakina MK254 walitudharau sana ngoja waendelee kupambana na corona yao.
Kenya imekua ni balaa la East Afrika, sio Ulaya ya East AfricaKenya ulaya ya East Africa mbona kilasiku wanazidi kututia aibu,nchi zote za EA zimeweza kudhibiti Covid-19 lakini wakunya wameshindwa kabisa.
Lakini wenyewe wanajiona ulaya eti!?Kenya imekua ni balaa la East Afrika, sio Ulaya ya East Africa