Kenya yaanza kutengeneza vifaa vya kupima Corona, vyenye uwezo wa kutoa matokeo ndani ya dk 15

True, for the first time am proud of our scientists, they have taken lead on this.
 
Kaka hamjawahi tengeneza kifaa cha kupimia ugonjwa wowote, hii teknolojia ya sasa mmeitoa wapi. Jirani kwa kujimwambafai hujambo.

Kaka hamjawahi tengeneza kifaa cha kupimia ugonjwa wowote, hii teknolojia ya sasa mmeitoa wapi. Jirani kwa kujimwambafai hujambo.

Soma taarifa japo zimeandikwa kwa kingereza na huwa changamoto kwa Watanzania, KEMRI hutengeneza vifaa vya kupima magonjwa, hivyo sio mara ya kwanza.
Mjitahidi na nyie mchangie dunia hii kisayansi muwache kuwa mzigo kazi kuzaliana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…