Kenya yaanza kuwashughulikia Vyeti Feki yasema watafanya zaidi ya Shujaa Magufuli kwa kuwashtaki " Vyeti Feki" Mahakamani!

Huku walilipwa
 
Sawa shujaa wa chato aliwatumbua bila kuwapa haki ya kujitetea mahakamani,

Alichokifanya ni uvunjifu wa Sheria kuliko waharifu walichokifanya,

Kiufupi ule ulikua ni uonevu maana nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria na Sio matamko binafsi.

Africa is shithole
Donald Trump.

Mwisho wa kunukuu!
 
Umemtaja Magufuli hapo unawaudhi makamanda uchwara😂
 
Huku kwetu, mtoto wa afande Albert bashite, aliyekuwa anasoma pamba akalamba ziroo tuliyemjua Kwa nomino ya daudi Kwa Sasa anajiita jina la mtume Paulo.
 
Hili tatizo liko Dunia nzima ila kwenye Nchi za Kiafrika na Amerika Kusini na Asia ndio limezidi.
 
Mtu ana cheti feki unampeleka mahakamani ili akajitetee kuwa cheti hicho ni halali?
Acha ungumbaru hivi waharifu wangapi wanaopelekwa mahakamani na walifanya matukio ambavyo yana ushahidi wa wazi?

Iweje vyeti wapate adhabu moja kwa moja na mtu binafsi wakati Mahakama ndio chombo cha kutoa haki anayostahili mtu?

Vipi kama katiba na sheria inawataka wauawe na yeye akaamua kuwaacha huoni sheria ilivunjwa hapo?
 
Anzeni na Nape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…