joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, kwahiyo hayo maneno unakataa kwamba hayakusemwa na Babuu Namwamba?, au hizo Comments sio za wakenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The star[emoji23]
Nimempenda huyu jamaa anayejiita Mark Masumbi, ameandika kwamba:Why Kenya removed Tanzania from quarantine list
MY TAKE: Someni comments za wakenya hapo chini muone ni jinsi gani wananchi wa Kenya wanavyowazidi akili viongozi wao kwa mbali sana.
Wananchi wengi wa Kenya sasa wanajua ukweli Geopolitics ya EastAfrica, wameacha kudanganywa na viongozi wao pamoja na media zao, sasa wanaijua nguvu ya Tanzania katika East Africa.
Huyo jamaa kazungumza vizuri Sana, viongozi wa Kenya lazima wajue kwamba muda wa kuwadanganya wakenya umepita, sasa hivi wameamua kusimama kwa kutumia akili zao.Nimempenda huyu jamaa anayejiita Mark Masumbi, ameandika kwamba:
Kenya had to consider a lot of things
1. KQ has a substantial share of passengers in TZ and ET and KLM were eating into this share by increase number of flights and frequency. Losing TZ market will greatly affect KQ and tourism as most tourists visit both countries.
2. The crisis was affecting the EAC partnership.
3. There are thousands of Kenya businesses operating in Tanzania and over 200,000 Kenyans working in Tz who were also affected
4. Kenya has a good population in Tz and maybe the reports from this group was that although everything in TZ operates in pre-Covid 19, after May/June there are very few suspected deaths or sicknesses reported or witnessed. The hundreds of thousands of Kenyan workers in TZ operates in the same environment and if covid was a serious problem in Tz they would be affected and reported back home the true situation.
Tz is a unique situation on Covid 19 and WHO and other countries should study why they have established covid curve without undertaking any steps apart from prayers
Huyu jamaa anajitambua...
Huyo jamaa kazungumza vizuri Sana, viongozi wa Kenya lazima wajue kwamba muda wa kuwadanganya wakenya umepita, sasa hivi wameamua kusimama kwa kutumia akili zao.
Babuu na mwamba ndio nani[emoji23]Hahahaha, kwahiyo hayo maneno unakataa kwamba hayakusemwa na Babuu Namwamba?, au hizo Comments sio za wakenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn nynyi bado mnatumia akili za ccm, kila kitu ndioHuyo jamaa kazungumza vizuri Sana, viongozi wa Kenya lazima wajue kwamba muda wa kuwadanganya wakenya umepita, sasa hivi wameamua kusimama kwa kutumia akili zao.
Wametangaza mwezi ujao shule zitafunguliwa, kwa nchi ambayo haijui nini la kufanya kuzuia maambukizi, hii itakua ni "Suicidal decision".
waache waendelee kutuiga! By next month infection itakuwa 40,000+Wametangaza mwezi ujao shule zitafunguliwa, kwa nchi ambayo haijui nini la kufanya kuzuia maambukizi, hii itakua ni "Suicidal decision".
Km nilivyosema, mnategea siku ikifika mia ndio mnapost, siku hizi naona mumekalia kuti kavu..
Hahaha!!vipi boss, visa vikiwa 50 pia post tuoneWametangaza mwezi ujao shule zitafunguliwa, kwa nchi ambayo haijui nini la kufanya kuzuia maambukizi, hii itakua ni "Suicidal decision".
Watakwambia comments hizo zimeeditiwa na walumumba hahahahaHahahaha, kwahiyo hayo maneno unakataa kwamba hayakusemwa na Babuu Namwamba?, au hizo Comments sio za wakenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atabaki mk 254 tu sababu yule hana akiliHuyo jamaa kazungumza vizuri Sana, viongozi wa Kenya lazima wajue kwamba muda wa kuwadanganya wakenya umepita, sasa hivi wameamua kusimama kwa kutumia akili zao.