Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Kama ambavyo tafiti zimeitaja Kenya kuwa miongoni mwa nchi hatari duniani na kushika nafasi ya 7 duniani kote, hili limeendelea kudhihirika baada ya mwili wa mzungu tajiri aliyekuwa katika mzozo wa kutalikiana na mkewe toka kabila la Kikuyu kuokotwa porini.

Bwana Tob Cohen alikuwa ni miongoni mwa wazungu wanaomiliki uchumi wa Kenya na amewekeza sana Kenya, ikiwemo mashamba na viwanda. Tob Cohen hakujua kwamba anawekeza ktk nchini hatari sana hapa duniani, kibaya zaidi akaamua kuoana na mama wa kabila katili zaidi hapa Afrika Mashariki na kati.
R.I.P .... Tob Cohen.
 
We jamaa shida yako iko wapi? Yaani Tanzania hakuna mauwaji? Pengine Watanzania ni malaika wanaoishi mbinguni.
 
Leta evidence kwamba Kenya ni ya 7 duniani kwa uhalifu.
 
mnavyotojadili huu uzi ni kama Tanzania na Kenya ni maadui wakubwa wakati juzijuzi tumeshuhudia Kenya wakirudisha dhahabu na fedha zilizoibiwa Tanzania.
East Afrika ni moja na sisi ni ndugu ndio maana kuna wajaruo na wamasai nchi zote
 
Acha kelele nchi gani inalinda watu dhidi ya Wenzi wao au unataka Serekali ilale chumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…