GODZILLA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 5,909 Reaction score 10,542 May 31, 2020 #21 Manyang'au yanapenda kujishikiza kwa wazungu katika kila jambo! Hata madume ya Kenya yanaona ujiko kuolewa na mabeberu. Sasa hii nayo habari?
Manyang'au yanapenda kujishikiza kwa wazungu katika kila jambo! Hata madume ya Kenya yanaona ujiko kuolewa na mabeberu. Sasa hii nayo habari?
Brorey71 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2020 Posts 655 Reaction score 139 May 31, 2020 Thread starter #22 GODZILLA said: Manyang'au yanapenda kujishikiza kwa wazungu katika kila jambo! Hata madume ya Kenya yanaona ujiko kuolewa na mabeberu. Sasa hii nayo habari? Click to expand... Heri mzungu anayekuonyesha upendo kwa kiwango fulani kuliko mwafrika mwenziwe anayekuchukia si haba
GODZILLA said: Manyang'au yanapenda kujishikiza kwa wazungu katika kila jambo! Hata madume ya Kenya yanaona ujiko kuolewa na mabeberu. Sasa hii nayo habari? Click to expand... Heri mzungu anayekuonyesha upendo kwa kiwango fulani kuliko mwafrika mwenziwe anayekuchukia si haba
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 May 31, 2020 #23 Brorey71 said: Ila nikisema ni sawa zaidi Click to expand... Sio sawa hata kidogo.