Kenya yaifuata Tanzania kuhusu bendera ya EAC

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Kenya yaifuata Tanzania kuhusu bendera ya EAC
  • Saa moja iliyopita
Baraza la mawaziri nchini kenya limeamrisha mara moja afisi za serikali na taasisi za umma kuanza kupeperusha na kutumia bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki sambamba na kucheza wimbo wa Afrika Mashariki.

Agizo hili pia linazihusu shule zote nchini humo.

Nchini Tanzania, tayari kuna agizo kwamba Bendera ya Taifa inafaa kupeperushwa ikifuatiwa na Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, vivyo hivyo Wimbo wa Taifa utaanza kupigwa ukifuatiwa na Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mwandishi wa BBC David Wafula amezungumza na Waziri wa Utalii nchini Kenya Najib Balala ambaye alikuwa katika kamati iliyofanya uamuzi nchini Kenya na kwanza alimwuliza, umuhimu wa hatua hii ni upi?

Kenya yaifuata Tanzania kuhusu bendera ya EAC - BBC Swahili
 
Mbona ofisi za serekali kunapepea bendera zote mbili acha kupotosha
 
..hivi kuna bendera ya sadc?

..na bendera ya AU?
 
mie naipenda ya chama tuu...hizi nyingine tupa kuleeee..........>>>>>>>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…