Hii ripoti imetolewa na serikali ya Kenya? 😂 😂So tukuamini ww au tuiamini serikali ya Kenya [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
View attachment 1689008
Unataka mtu apoteze kazi? 😂Tzn haitoi Takwimu,waambie walete zao kwa vipindi tajwa hapo juu
Tanzania hakuna corona 😂watalii wamejazana Zanzibar
Kusoma ndo huwa hupendi kabisa, hyo habari ilianzia hapa mpuuzi ww [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji116][emoji116]Hii ripoti imetolewa na serikali ya Kenya? [emoji23] [emoji23]
Unazidi tu kujiaibisha
Hahahaha, Failed state at its best [emoji23][emoji23][emoji23]Hii ripoti imetolewa na serikali ya Kenya? [emoji23] [emoji23]
Unazidi tu kujiaibisha
tayari aliishakuwa chini,hata ni aibu sisi kujiweka chini na yeye.WATANZANIA NA RAIS WETU TUKAZE BUTI TUMUANGUSHE HUYU KIMBELEMBELE
Ungeleta ripoti yenyewe from Kenya National Bureau of Statistics ndio ueleweke. This is a report from a second or third party, most probably a blog so its authenticity is a subject of debateKusoma ndo huwa hupendi kabisa, hyo habari ilianzia hapa mpuuzi ww [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji116][emoji116]View attachment 1689687
Ss ungekuwa na akili ungeshajiuliza kwnn KNBS haijakanusha habari mby na ya kizushi km hiyo [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji3545][emoji3545]Ungeleta ripoti yenyewe from Kenya National Bureau of Statistics ndio ueleweke. This is a report from a second or third party, most probably a blog so its authenticity is a subject of debate
What makes you think that such a report is in the public domain? Just bring me a link where KNBS states these things. Hizi slideshows achana nazoSs ungekuwa na akili ungeshajiuliza kwnn KNBS haijakanusha habari mby na ya kizushi km hiyo [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji3545][emoji3545]
TZ nchi kubwa, madini mengi, rotuba hata usiseme idadi ya watu juu....lakini nchi ndogo kama kenya eti ni tajiri kuishinda..idadi yetu ya watu chini, rotuba chini, madini hatuna...lakini uchumi wetu wetu juu ya tz.... hii tutaiita nini kama sio upumbavu wa hali ya juuSasa hawa majirani zetu wataambia nini watu? Ukipata zero unajielezeaje ueleweke