Kenyan-Tanzanian
JF-Expert Member
- Nov 7, 2006
- 302
- 2
Naomba nafasi ili niwapongezeni Watanzania wote popote mulipo duniani.
1. Hongera kwa kuweza kutuonyesha ukomavu wa siasa zenu baada ya presha ya wananchi kumtimua Lowassa na wengineo waliohusika kwenye the Richmond Scandal.
2. Kwa Rais wenu stadi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kuteuliwa kama the first East African president of the African Union.
3. Wakati sisi huku kenya tunazidi kuzorota nyie mnatuonyesha njia.
Kifupi: I am proud of Tanzania!

KT,
Poa tu ndugu! Je haujambo?
Ndo tunasubiri next cabinet- it was a good move for Lowasa kujiuzulu- ni symbol of Utawala bora -sii tu Tz, bali EA na Afrika kwa ujumla!
Je ile scandali ya Angloleasing na Gordenbereg sii pia wako Ministers waliojiuzulu?
TUNAIPOKEA SANA HII PONGEZI YAKO.
TANZANIA INAONGOZWA NA CHAMA MAKINI CHA CCM AMBACHO KWA MISINGI YAKE IMARA NA ITIKADI YAKE MAKINI IMETUFIKISHA HAPA.
TUNAWASHUKURU SANA WAASISI WETU MZEE KARUME(RIP) NA MWALIMU NYERERE(RIP) KWA MISINGI MEMA WALIOTUEKEA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI NA MAPINDUZI DUMU DAIMA
KT
Mimi ni CCM mzuri sana tangia mwaka TANU na sasa CCM lakini kwa hili nawapongeza Watanzania na Upinzani Bungeni , nawapongeza Mwana Halisi , Jambo Forums wote kabisa wakiwemo wachovu wachache wa CCM ambao huweka CCM mbele kila mahali na magazeti imara ambayo hayakutishika sana na vitisho . Hapa siwapo hongera CCM hapana .
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Zaidi mnaweza kujifunza mengi kupitia muafaka wa CCM na CUF....Naomba nafasi ili niwapongezeni Watanzania wote popote mulipo duniani.
1. Hongera kwa kuweza kutuonyesha ukomavu wa siasa zenu baada ya presha ya wananchi kumtimua Lowassa na wengineo waliohusika kwenye the Richmond Scandal.
Kifupi: I am proud of Tanzania!
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Zaidi mnaweza kujifunza mengi kupitia muafaka wa CCM na CUF....
Mkiona nchi za jirani wameanza kuona jambo kama hili na kulipa uzito satahii..Mjue kuwa there is no way out for you!! Hata Mwai Kibaki..na wenzie wameanza kutuelewa Wt katika sura za kazi na style yetu!!Mungu ibariki tz.
TUNAIPOKEA SANA HII PONGEZI YAKO.
TANZANIA INAONGOZWA NA CHAMA MAKINI CHA CCM AMBACHO KWA MISINGI YAKE IMARA NA ITIKADI YAKE MAKINI IMETUFIKISHA HAPA.
TUNAWASHUKURU SANA WAASISI WETU MZEE KARUME(RIP) NA MWALIMU NYERERE(RIP) KWA MISINGI MEMA WALIOTUEKEA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI NA MAPINDUZI DUMU DAIMA
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
KamandaMkuu,
Mwafaka gani unaouongelea?
Ni huu ambao hauishi ama kuna mwingine?
Mkuu,
Mwafaka gani unaouongelea?
Ni huu ambao hauishi ama kuna mwingine?
..kt,
..uzuri wa tz ni kutokuwa warahisi kutatua "matatizo" kwa kuua!
..kenya maslahi ya mtu yanapokuwa hatarini,wazo la kwanza huwa ni kutafuta maadui na kuua!
..sasa,kuua si kutatua "matatizo" bali ni kutafuta laana zaidi,kwani "damu ya mtu nzito".
..wakenya wanahitaji kuvumiliana,kuheshimiana na kutunziana utu.[/QUOTE]
Mkuu IDIMI,
Soma mstari wa mwisho wa DAR si LAMU, nadhani unatoa jibu zuri sana.