Kenya yaiwakilisha vizuri EA, yashika namba 3 Afrika

Kwenu Lissu liliishia wapi? Enyi nchi ya amani bila Police Brutality
Hiyo ni kesi moja moja, hutokea dunia nzima, lakini kufika kiwango cha kuongoza bara zima la Afrika katika mambo ya kishenzi kama "Corruption, police killings, tribalism, and Nepotism, lazima hiyo nchi iwe ni failed state
 
Mzee unajitoa fahamu? Hadi leo jamaa wake Azorri hawajui alipo! Ben Saanane kapotezwa kisa tu alihoji alafu useme Tz nchi ya amani?
Usiwe mnafiki.
 
Mzee unajitoa fahamu? Hadi leo jamaa wake Azorri hawajui alipo! Ben Saanane kapotezwa kisa tu alihoji alafu useme Tz nchi ya amani?
Usiwe mnafiki.
Wewe tatizo lako unataka kushindana na dunia nzima, hutoweza kaka usipoteze muda wako, hayo yoote unayoyasema, dunia nzima inayajua, sio wewe peke yako, lakini ukiyajumlisha hayo yote hayafikii hata 5% ya unyama unaofanyika Kenya tanfu tupate Uhuru, ndio sababu vyombo vyote vya kimataifa vimeitaja Kenya miongoni mwa nchi hatari zaidi duniani, na nchi ya kwanza Afrika katika "Exyrajudicial killings and police brutality", sasa wewe endelea kupingana na dunia nzima ukidhani wewe ndiye mwenye kujua zaidi kuliko hivyo vyombo vya kimataifa.
 
Kwhyo hta akitekwa babako poa tu, kw sababu n mmoja na hafikii hta 1% ya population yenu...

Kwhyo hta akitekwa babako poa tu, kw sababu n mmoja na hafikii hta 1% ya population yenu...

View attachment 1262052
Mimi sijasema hakuna unyama unaofanyika Tanzania, ila ni chini ya 5% ya unyama unaofanyika Kenya, ndio sababu Tanzania haihashika namba 1 Afrika badala yake ni namba 7, hii maana yake bado tuna sehemu za kurekebisha. Ila kwa Kenya, ninyi hamna sehemu za kurekebisha, ninyi mnapaswa kuanza upwa kwasababu nchi yote imeoza.
 
Kwhyo kuna mauaji ambayo ni nafuu hapa duniani..
MUNGU wangu
 
Kwhyo kuna mauaji ambayo ni nafuu hapa duniani..
MUNGU wangu
Ndio maana Kenya, Somalia, South Sudan, Yemen na Afghanistan ni nchi hatari zaidi kuishi, hiyo haina maana USA hakuna mauaji, lakini ni "safe" zaidi kuishi USA, Tanzania au Botswana, kuliko kuishi Kenya au Yemen
 
Hku kenya iki host office nyingi sana za kimataifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivyo uhai wa watu wachache ni sawa tu? Kwako una afadhali. Jamaa ya Ben, Agwanda, Aquillina na wengine wengi unajua machungu wanayopitia?
Albino waliogeuzwa vilema na wengine kupoteza maisha ni sawa tu kwako kwa vile ni "Isolated incident" na haijafikia 5% ya takwimu zako unazotoa akilini kama unavyotaka kutuaminisha? Wewe kituko kweli Mkuu!
 
Hku kenya iki host office nyingi sana za kimataifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes, lakini ni miongoni mwa nchi hatari sana, kumbuka hao "International workers" wanaishi maeneo salama na wabalindwa, sio kama ninyi walala hoi. Haitotokea POLISI wa Kenya kumpiga mfanyakazi wa UN.

Vigezo vinavyitumika kujua nchi ina amani au hapana sio kuwepo kwa ofisi za UN, Botswana na Mauritius zinaongoza kwa Amani Afrika, hakuna hata ofisi moja ya UN, hata balozi za nchi za Europe hazipo Mauritius, lakini inaongoza kwa Amani Afrika. Kenya mko na hali mbaya lazima mkubali huo ukweli na muanze kuchukua hatua. Kuendeleza "denial" hakutowasaidia.
 
Utazunguka yote hayo, bottom line ni;
1) Tanzania ni namba 7 Sfrica na namba 54 duniani kwa amani
2)Kenya ni namba 42Afrika na 123 duniani kwa amani. Njooni mjifunze tulivyofanikiwa kushika hizo nafasi za juu
 
Albino waliouliwa hawakuzidi 75, lakini ukijumlisha Jaluo, waisilamu huko pwani, wanauliwa na POLISI, majambazi na Alshabaab ni zaidi ya wakenya Elfu 50.
 
Maeneo sala wapi hko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu naona umekuja pazuri, tupe hivyo vigezo mpka vinafanya nchi ku host office za kimataifa...
...nasubiria uingie kumi na nane [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Albino waliouliwa hawakuzidi 75, lakini ukijumlisha Jaluo, waisilamu huko pwani, wanauliwa na POLISI, majambazi na Alshabaab ni zaidi ya wakenya Elfu 50.
Wakenya elfu hamsini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…