Kenya yakopa matrilioni World Bank kwa ajili ya bajeti

Kenya yakopa matrilioni World Bank kwa ajili ya bajeti

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Hii nchi ni kichekesho cha dunia sasa hivi

Pamoja na kupewa mkopo mkubwa na WB pamoja na IMF kwa ajili ya kupunguza makali ya Corona kwenye uchumi lakini bado wameenda kukopa tena dollars billion 1kwaajili ya kugharamia bajeti yao ya Taifa

Tunajua Kenya huendesha budget yao zaidi ya 65% kwa mikopo na misaada kutoka ubeberuni lakini hapa sioni sense ya zile pesa zaidi ya billion 1.6 USD walizokopa kwa interests kwaaajili ya kukabiliana na Corona economic injuries

Na hii pesa yote itaenda kupanua matumbo ya wachache huku wakenya wakiendelea kunyukwa na kipindupindu sababu ya ukosefu mkubwa wa maji uliopo Kenya nzima, mpaka said zaidi ya wakenya 30 washakufa na kipindupindu

Locust
Cholera
Corona
Lack of water
Hunger
Slums
Ufisadi
Floods
Debts

Haya ndio majinamizi yanayoikaba Kenya kwa sasa

Screenshot_20200520-153222.png

Also Read: World Bank approves USD 1 billion funding for COVID-19 response in Kenya - JamiiForums
 
So kipindupindu nacho kinaenda kuipita coronavirus kwa vifo? Kuna hii pia...

Nadhani pia wanakopesheka.

Simuda wanapata tena ile 10℅ ya pato lao toka WHO litakalotolewa kwa kila Taifa
 
Nadhani pia wanakopesheka.

Simuda wanapata tena ile 10℅ ya pato lao toka WHO litakalotolewa kwa kila Taifa
kuna nchi chache sana zisizokopesheka duniani.

mfano mzuri china anakopesha kwa kuzuia assets za nchi.embu niambie nchi gani itashindwa shart hilo.
 
kuna nchi chache sana zisizokopesheka duniani.

mfano mzuri china anakopesha kwa kuzuia assets za nchi.embu niambie nchi gani itashindwa shart hilo.
Hivi kwanza anafahamu debt to GDP ration ya kunyaland [emoji23]
 
kuna nchi chache sana zisizokopesheka duniani.

mfano mzuri china anakopesha kwa kuzuia assets za nchi.embu niambie nchi gani itashindwa shart hilo.
So nawe unaona nikichekesho kukopa
 
Ilaa WB. Mi nimewashangaa sana ivi unawezaje kuiweka nchinkama Algeria, Moroco, Tunisia ktl kundi moja na nchi kama za kenya ,Tz,cameroon, ivory coast eti na djibout. Kweli jaman WB they are not serious
 
Back
Top Bottom