Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Nani kakwambia vilikuwa vigonjwa wakati waliochoma wamesema hawakuvipima ila walisema vinaweza kuwa na ugonjwa. Walimkomoa tu yule dada. Mbona ng'ombe hawachomi moto?
Mkuu hakuna kukomolewa wala nini. kuna taratibu hizi hapo chini ni za kufuatwa karibu dunia nzima zinatofautiana kidogo tu.
http://www.mifugouvuvi.go.tz/wp-con...XPORT_AND_IMPORT_PROTOCOLS_NM_SW_NK_FINAL.pdf
Wakenya wanazijua taratibu hizi labda huyo alieingiza kuku kienyeji hakujua. Na katika sheria kutoijua sheria sio kinga.
 

Attachments

haya sasa ni ukweli mtupu.tukisema hii sirikali ya awamu hii ni ya hovyo,mnasema ohh uchochezi
 
Shenz type eti familia ya Kenyatta ilinyakua shamba Kajiado? Wapi hapo? Nieleze vizuri kwa sababu Kajiado ni kwetu. We mzaramo lazima itakuwa walikunyofoa kengele. Huu umbea ni wa kike kabisaaa.
Mkuu bulldozer alijaribiwi,naona majirani mshaanza kuisoma namba
 
Kwani sababu zakupiga mnada na kuchoma vifaranga hazijulikani au wanataka kujua nengine?
naona kwa vile kipenzi cha mkulu wetu R.Omolo Odinga kashindwa uchaguzi,sasa anahasira na Uhuru,unafikiri Odinga angekuwa raisi Magu angefanya hayo? tena angewatimua kazi hao watumishi wake waliofanya hivyo
 
sababu mbona hazina uzito.
ukinunua Tv china kiharamu ikakamatwa tanzania na tanzania wakaamua kuzishughulikia kwa mujibu wa sheria zao, china inalalamika kama nani.
tofautisha living things na nonliving things
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…