Unamaani Coalition of the Willing ? we mwaka huu Rwanda wamekosa hata fedha za maadhimisho ya siku ya Uhuru wakajidai eti wamedhamiria kwani hawaoni cha sherehekea.
Unajua tofauti ya lugha baina ya Watanzania na Kenya huwa kubwa, nyie hutumia neno "naomba" hata wakati unanunua. Sasa ndio hapa mnabeza kwamba Kenya inaomba Tanzania chakula, ilhali tunanunua na kwa pesa zetu. Hivyo ina maana hata bidhaa tunazoziuza Tanzania huwa mnatuomba.
Brother, CoW wamewachunia? Mnaona jinsi gani hamuwezi kuishi bila Tanzania?
Food is food ndugu, na Omo ni Omo.
Ni bora usifue kuliko kutokula, food is not something you can just make kama Omo na Ariel. Hivi vingine mnaweza kuvipata kokote kule, lakini sio chakula. You can put it in whatever way you like lakini kama "the richest country in E.A" can not feed it's people, sijui sisi "the poor country" tutakuwaje.
Brother, CoW wamewachunia? Mnaona jinsi gani hamuwezi kuishi bila Tanzania?
Geza Ulole kadoda11 FaizaFoxy bagamoyo @Ab-Tichatz NairobiWalker lawmaina78 waltham
Kwanini CoW wasiwape mahindi?
low self esteem
Watani wetu wananjaa sana Tanzania ikiweka ngumu wakenya watakufa kuliko waethiopia walivyokufa miaka 80s.
nipo "rader" mkuu bulldog nakusoma kwa utuvu mwingi.namwona lawmaina78 kwa mbali na vijana wake wanajadili ni namna gani watapangua hoja iliyomo ktk thread.njaa mbaya sana,haichagui baunsa wala fido dido.lol
hujiulizi kwa nini hakuna product ya bakhresa kenya?
Umelala usingizi wa pono, jionee mwenyewe: Bakhresa Grain Milling (Kenya) Ltd | Azam Bakhresa GroupAzam Bakhresa Group
This Company was registered in 2003 and has been set up and established initially as a vehicle from which to import Wheat Bran from Bakhresa's Uganda operation and to re-export this to the international markets. The operation is also involved with commodity trading in
In the next phase of the companies development, Bakhresa Grain Milling Kenya Ltd is to establish a 750 Metric Ton per day capacity Mill over the course of the next 12 to 14 months and will commence it's operations in 2014
- Sugar
- Rice
- Cotton Seed Cake
- Pulses
Halafu wapigie Bakresa kawaulize wana product gani kwenye supermarket za kenya? au Horohoro (Lungalunga), kama hujaabiwa zinaipatikana mwisho Horohoro upande wa tanzania kwa wachuzi wa kitanzania?
Wewe wacha porojo, piga hizi office zao ujionee
Azam Food Products (K) Ltd
Ice Cream Manufacturers
Athi River Rd
P.O.Box: 82131-80100 Mombasa
Tel:+254-0202493287
Fax: +254-0202493288
Na kama una uwezo wa ku distribute bidhaa zao, hili hapa tangazo lao walilokuwa wanatatafuta distributors way back in 2010, kama hujachelewa jamvini:
Distributors Wanted
Azam Food Products (K) Ltd. is part of Bakhresa Group of Companies based in Dar Es Salaam, Tanzania and
produces high quality, delicious and nutritious "Azam" brand quality products which include Ice Creams, Fruit
Juices, Frozen Chapattis, "Uhai" Drinking Water, Maize flour and Wheat flour.
State of the art technologies are used to produce all the products in a very hygienic environment. Stringent Food
Safety Standards are adhered to. Azam brands are accredited with ISO: 22000:2005 Certification, reinforcing its
commitment for the continuous enforcement of Food Safety Management System.
Azam Food Products (K )Ltd has opportunities for Non Exclusive distributorship of Azam Products in All
Major Towns in Kenya.
Source:LATEST KENYAN JOBS AND VACANCIES: Azam Food Products Distributors Wanted and Sales Jobs in Mombasa
hujiulizi kwa nini hakuna product ya bakhresa kenya?
Na mchele je hawataki?