joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya ipo busy kupigana na DP ruto..Hata akienda haja ndogo kwa ukuta ulioandikwa "usikojoe hapa" Wataita FBI na KGB kuhakikisha niyeye kikojozi😂😂😂Kinoti wants US detectives to join in Kenei killing probe : The Standard
My take: Serikali ya Kenya inahusika moja kwa moja na mauaji ya Msando na Jacob Juma, kwasababu mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyekamatwa na serikali imekataa katakata kuomba usaidizi toka nchi za nje pamoja na kwamba NASA walipendekeza kuwepo kwa vyombo huru toka nje ya nchi, iweje mauaji ya Kenei iwe ni tofauti na wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, hahahaha. Ngoja wenye Jubilee wajitokeze kutetea ufalme waoKenya ipo busy kupigana na DP ruto..Hata akienda haja ndogo kwa ukuta ulioandikwa "usikojoe hapa" Wataita FBI na KGB kuhakikisha niyeye kikojozi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa pesa zetu za ndani 😁Hahahaha, hahahaha. Ngoja wenye Jubilee wajitokeze kutetea ufalme wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ipo busy kupigana na DP ruto..Hata akienda haja ndogo kwa ukuta ulioandikwa "usikojoe hapa" Wataita FBI na KGB kuhakikisha niyeye kikojozi[emoji23][emoji23][emoji23]