Kenya Yaongeza Makato ya Tozo za Miamala Kwa Kuanzia July 2023

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Serikali ya Kenya imeongeza makato ya tozo ya miamala kuanzia July 2023.

Ikumbukwe Kenya ndio Huwa role Model ya Chadomo Kwa Kila kitu "Ogopa Matapeli"
 
TRA tz wameongeza kodi za majengo, ukinunua umeme unatakiwa ulipe deni lote, 12k, 60k, 120,k na kadhalika kulingana na taarifa za mteja zilizoko TANESCO. Tusipokuwa makini kwa tulozoea kununua umeme wa 5k/10k waeza lala kwa kiza
 
Kunyaland wameweka Hadi tozo Kwa salary za Watumishi wa Umma eti kujengea nyumba za hustlers wa Ruto 😁😁
 
Back
Top Bottom