Kenya yaongoza ubora wa vyuo vikuu afrika mashariki

Kenya yaongoza ubora wa vyuo vikuu afrika mashariki

KWELIMT

Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
89
Reaction score
34
Wana JF naomba kuuweka wazi utafiti nilioufanya kwenye mtandao kuhusu ubora wa vyuo vikuu vilivyoko katika nchi 3 za jumuiya ya Afrika mashariki.Nchi ya Kenya inaongoza kwa kutoa vyuo vikuu 12 bora kati ya ishirini miongoni mwa nchi hizi 3 za EAC.
vigezo vilivyotumika
kwa mujibu taarifa za mtandaoni ,taarifa mbalimbali za vyuo zimetumika kugrade vyuo husika,mfano machapisho mbalimbali na tafiti zilizofanywa na vyuo ndani na nje ya nchi zao.
Hatari:Kama Tanzania haitachukua hatua ni dhahiri kuwa nafasi za ajira nyingi zitatwaliwa na wageni hasa Wakenya kwa sababu hatatuweza kushindana nao katika soko la ajira kutokana na ubora wa vyuo vyao.Itakuwa aibu kwetu kuendelea kulalamika ukosefu wa ajira na wakati hatujiweki tayari kwa mapambano na wnzetu kwenye soko la ajira.
Kipaumbele kwenye Bajeti 2011 kwenye Elimu.
Kenya imeweka elimu kipaumbele kwenye bajeti yake mwaka huu 2011,sisi tumeongeza kiasi kidogo sana cha12% kwenye bajeti ya 2010.
NB:Attachment hapo chini inaonesha kwa undani.


MUNGU IBARIKI TANZANIA
 

Attachments

Ukitaka kuinua uchumi wa nchi invest kiasi kikubwa kwenye elimu kwanza. Sasa hapa Tz mambo ni tofauti kabisa, ndo maana tunapata skills kidogo sana.
 
Back
Top Bottom