Kenya yapanga kuanza kuvuna figo za waliokufa na kuzipandikiza kwa wagonjwa wahitaji

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Kenya itaanza kuvuna figo za watu waliokufa na kuzipandikiza kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya figo kwa makubaliano ya wanafamilia wa marehemu

Mwenyekiti wa kamati ya kisanyansi ya Chama cha Figo Kenya Dk. Maranga Wamburu amesema sasa hivi Wizara ya Afya inafanya mazungumzo na wadau tofauti juu ya kanuni za kusiamama utolewaji wa figo kutoka kwa waliokufa

Mwezi Juni Rais Uhuru Kenyatta alisaini muswada wa unaorahisisha Wakenya kujiitolea figo zao kwa ajili ya wagonjwa na utafiti

==================================

Kenya will soon start harvesting kidney from ‘dead’ patients and transplant it to those suffering from kidney failures upon consent from the deceased families. The chairman of the Kenya Renal Association scientific committee Dr Maranga Wambugu said currently the Ministry of Health is having talks with different stakeholders on the regulations and policies to conduct deceased donor transplantation. In June, President Uhuru Kenyatta assented to a Bill that makes it easier for Kenyans to donate their organs for transplant and research. The new law, which builds on the Human Tissue Act of 1966 (reviewed in 2012), allows a person who is competent to make a will or oral statement before witnesses to donate their body or specific organs to be used after their death either to save another person’s life or in

Source: Daily Nation
 
Waanze kwanza na figo za alshababu waliohai ndiyo waje na figo za marehemu
 
Kipaumbele, nafikiri wangeanza na kuondoa Kipundupindu kwanza, kwangu mimi watu wengi wanakufa kwa Kipindupindu klk Figo!
 
Sasa kwasababu ukimwi unaua zaidi ya kipindupindu inamaanisha pia tung'ang'ane kuondoa ukimwi tuachane na kipindupindu?Acha kutumia makalio kufikiria wewe!

Kuondoa kipindupindu ni rahisi na muhimu zaidi klk figo, haya ni maoni yangu, isitoshe siyo kweli kwamba ukimwi unaua zaidi ya kipindupindu, I mean kama tunashindwa kuzuia kipindupindu ambapo ni swala la usafi tu tutawezaje mambo ya figo?
 
Hii ni hatua chanya, hata mimi nikifa sioni umuhimu tena wa viungo vyangu, vinyofolewe tu kama vitawaokoa binadamu watakaobaki.
 
Hongereni. Miaka 7 iliyopita ndo walianza kupandikiza. Wamesogea hatua kubwa sana.
Sisi bado hatujaanza.
 
Kuondoa kipindupindu ni rahisi na muhimu zaidi klk figo, haya ni maoni yangu, isitoshe siyo kweli kwamba ukimwi unaua zaidi ya kipindupindu, I mean kama tunashindwa kuzuia kipindupindu ambapo ni swala la usafi tu tutawezaje mambo ya figo?
Hivi nyie malofa huwa mnajihisi vipi? Vichwa vyenu ndo vyepesi kuliko kawaida au ndo vizito? Nimejiuliza sana baada ya kusikia vichwa vyenu vikifananishwa na maboga na pia na malenge.
 
Weka logic hapa ya kuwekeza kwenye figo kabla magonjwa ya kuambukiza ambayo ni rahisi kuyadhibiti, kwanza ukianza na magonjwa kama kipindupindu hata pia matatizo ya figo yanapungua, hivyo weka logic hapa tuijadili kama ukipenda!
 
Hivi nyie malofa huwa mnajihisi vipi? Vichwa vyenu ndo vyepesi kuliko kawaida au ndo vizito? Nimejiuliza sana baada ya kusikia vichwa vyenu vikifananishwa na maboga na pia na malenge.
Hili ni povu kweli kweli! Umeacha hoja kabisa
 
Hongereni. Miaka 7 iliyopita ndo walianza kupandikiza. Wamesogea hatua kubwa sana.
Sisi bado hatujaanza.
Kama madaktari tulionao Ni kama kina kigwangala it will take hundreds years...tuna chowexa cc Ni kudill na wapinzani Tu mengine tuwachie wengine
 
Inafaa tahadhari gani itawekwa kunilinda nisiuwawe kisa tu mwenye pesa anataka figo zangu na anauwezo wa kuwashawishi ndugu zangu kwa pesa yake maskini tutaisha kwa kupigwa nondo
 
Mazungumzo yanayoishia kwenye utendaji.
Hamna lolote...Govt hospitals za Kenya ziko hoi hae na mfumo mzima wa afya umeachiwa sekta binafsi na unaendeshwa kibiashara.
Hiyo ni tofauti na Tz ambapo Govt Hospitals zinaimarika sana as compared to complimentary private hospitals.
 
Ni herii itolewe mapema ukiwa hai ili ufaidi matunda ya figo yako kuliko ndugu kupiga ukiwa umekufa
 
Back
Top Bottom