Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Sema Iran kabisa😂😂Tanzania itaungana na Urusi ili kubalance mambo!
Hahaha je Mrusi ni mtoaji kama Marekani na washirika wake...?Tanzania itaungana na Urusi ili kubalance mambo!
Noma sana na kwa Kiduku piaSema Iran kabisa😂😂
😆🤣Tanzania itaungana na Urusi ili kubalance mambo!
SawaKenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO.
Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia.
Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi.
Nawasilisha
Umesema ukweli kabisa!Elimu,
Elimu,
Elimu.
Kenya mnaweza kuona wanajipendekeza Ila itanufaika Kwa Mambo mengi.... Sisi tokea tuambiwe ni Dona kantri yaani ndo tumedindisha kabisaa na kujiaminisha kuwa Sisi ni matajiri Kwa kumiliki mbuga nyingi za wanyama....hahahaa.
CCM inachezea mfumo wetu WA elimu ili ijinufaishe kisiasa...hakika in some few years to come taifa letu litakuwa na hadhi Sawa na Burundi and the likes. Sisi ni piipooo.