Kenya yapata Kardinali!!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Baba Mtakatifu Benedict XVI ametangaza majina ya maaskofu 23 ambao amewainua katika madaraja ya altare na kuwa makardinali. Miongoni mwao ni Askofu John Njue wa Nairobi. Askofu Njue anachukua nafasi ya marehemu Kardinali Maurice Otunga aliyefariki mwaka 2003.

Jukumu la kwanza la Makardinali ni kumchagua Papa Mpya na majukumu mengine ambayo watakabidhiwa na Askofu Mkuu wa Roma. Kardinali Njue atapokea kofia yake nyekundu kwenye konsistori ya Novemba 24.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…