Kenya yapewa msaada wa chakula na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imirati)

Anaita admin utafikiri yupo kwenye whatsapp group πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna siku alitukana humu akala ban naona sasa hivi ameshika adabu.
Wewe pia umekula ban juzi ukarudi ukiwa umenuna na kulalamika sana. Mimi bado sijakula ban licha ya kutukana watu sana.
 
Heheee!!nitajie county tano tu ambazo wazungu wanamiliki mashamba kenya ni log off jf..
Manake nikikupa zote 47 utakimbia, upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashamba ya Kericho ( mfano sotik highlands, Unilever)
Pale Nakuru vipi
Na kule laikipia jee
Ooh na naivasha
Tena Tea fams na ranches huku nyie mkibaki kushangaa shangaa tu,

Bila kusahau familia ta Rais wenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mashamba ya Kericho ( mfano sotik highlands, Unilever)
Pale Nakuru vipi
Na kule laikipia jee
Ooh na naivashaj
Tena Tea fams na ranches huku nyie mkibaki kushangaa shangaa tu,

Bila kusahau familia ta Rais wenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Criticos Taita Taveta
Delamere Manera farms Naivasha
Hermanus Philipus Steyn Kajiado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…