Kenya yapewa msaada wa chakula na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imirati)

Mashamba ya Kericho ( mfano sotik highlands, Unilever)
Pale Nakuru vipi
Na kule laikipia jee
Ooh na naivasha
Tena Tea fams na ranches huku nyie mkibaki kushangaa shangaa tu,

Bila kusahau familia ta Rais wenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bwahahaaa!!naona umetaja, laikipia county, nakury county na kericho county bila ya mashamba...
Enhee!!summurize hayo mashamba hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini hawakupeleka msaada kwa Waislam wenzao Somalia?
 
Mpe link mwenzako lini mliipatia kenya msaada wachana na mambo ya kiswahili[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Point ni ninyi kupewa misaada ya chakula kila mwaka toka China, USA na UAE, hakuna mtu alitesema Tanzania iliwapa misaada, acha kuvuruga mada. Mnadhalilisha bara la Afrika kwa kupewa misaada ya chakula 60yrs baada ya kujitawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hvyo hvyo tuliwapa misaada nyie msiopewa hyo misaada[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheee!!
Hukuelewa swali nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si unataja na kuthibitisha, au unafikiria hapa ni kijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kubadilisha gear hewani, nimejibu ulichouliza hayo mengine hayanihusu alafu ulisema utatoka jf nashangaa bado upo,
Hayo mengine kawaulize wakazi wa hayo maeneo,
Alafu yule kiongozi wa kericho alifikia wapi na yale mashamba mliyonyanganywa na wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…