Kenya yapewa msaada wa chakula na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imirati)

Cha kwanza nilikwambia ulete county tano, wewe ukalete tatu..hapo umefeli tayari, tena hzo tatu ukaziorodhesha bila mashamba..sasa ndio ukafeli zaidi manake ujue kuna watu wanfuatilia hzi threads...

So bado jf nipo nipo tu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupokea kichapo ukabadili muelekeo haraka haraka,
Usiogope kuaibika maana ni fake ID sometimes Ukiona umezidiwa fanya kumute tu maana huwa sina huruma na wajinga sampuli yako.
 
Baada ya kupokea kichapo ukabadili muelekeo haraka haraka,
Usiogope kuaibika maana ni fake ID sometimes Ukiona umezidiwa fanya kumute tu maana huwa sina huruma na wajinga sampuli yako.
Eti kichapo, nasubiria county zangu tano hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu tunavuka south tuone vile machothara wanafanya yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashamba ya Kericho
Nakuru vipi
Na kule laikipia
Naivasha
Taita taveta,
Ukija tena kwa Kenyatta family [emoji23][emoji23][emoji23]
Heheeeee!!si uneumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani out of 47 counties ubashindwa kutaja tano tu ..kwel kenya inamilikiwa na wazungu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…