Kenya yapewa msaada wa chakula na Urusi

Kufa ni kufaana, hiyo pesa tayari imeshaingia katika azina ya Tanzania, kwasababu WFP hununua vyakula toka Tanzania.

Tuzidi kuwaombea njaa majirani zetu ili tuzidi kuneemeka kutokana na uzembe wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
UN ya Africa iko Nairobi including hio WFP..... Hayo mahindi yenu tuna yanunua kwa bei ya reja reja alafu tunageuza na kusema yametoka Kenya na tunauzia WFP kwa bei ya juu, Hii ni game tumecheza kutoka zamani sana, We unafikiri kwanini hadi wa leo bado ukiangalia mitandaoni bado Kibera inaambiwa eti ina wakaazi 2 Million ilhali idadi halisi haifiki hata 200K?




Kenya is ranked number ten of the top countries contributing to the United Nations in the World and is number one in Africa.

World countries contribute to the United Nations to finance their operations, projects and programmes every year.

According to recently released report for total procurement of goods and services for operational activities of the United Nations system reached $17.6 billion in 2015.

This figure considerably increased as compared to $13.8 billion back in 2009.

United State according to the reports is the largest UN contributor last (2015) accounting 9.37 percent of UN’s procurement volume. U.S. contributed over $1.6 billion. India which has remained among top ten UN contributors since 2010 took the second spot with contribution of $1.28 billion.

The United Arab Emirates came third with $805 million, ahead of Switzerland and Belgium with Kenya notably at number ten with 445 million dollars contribution.

 
Kenya taifa la ajabu sana yaani waliowaweka kwenye kundi la failed state wako sahihi kabisa,
Na hapo bado mtapewa misaada ya chakula huku mkijisifu ujinga 😂😂😂
 
Kenya taifa la ajabu sana yaani waliowaweka kwenye kundi la failed state wako sahihi kabisa,
Na hapo bado mtapewa misaada ya chakula huku mkijisifu ujinga 😂😂😂
Hili bata tunajua kulila vizuri sana.....

Hivi si vitu vya ujinga! Nyani haoni kundule
 
lol mumuuzie nani kitu msichokua kua nacho?
 
lol mumuuzie nani kitu msichokua kua nacho?
View attachment 1305327
Hiivi unajua kua Tanzania inazalisha maua mengi kuliko Kenya (In terms of quantity)? Lakini ni nchi gani ukanda huu inapata faida nyingi kutokana na biashara ya maua?? Soma vizuri
Kenya is one of the biggest contributors to the United Nations (UN) according to statistics in a recently released report by the global body.

According to the report, Kenya donated $445 million (Sh45 billion) towards procurement of goods and services for operational activities of the UN system.

Which made Kenya the tenth biggest contributor in the world. The organisation procured goods and services from 224 different countries and territories in 2015 with 124 of them providing $10 million or more each.

The top 10 countries supplying the UN system accounted for 44.8 percent of its total procurement volume ($7.9 billion) in 2015.

Contributions for 2015 reached $17.6 billion which was a considerable increase on $13.8 billion back in 2009.

Kenya with 2.5% provides cargo transportation services, construction services and fuel.

GOODS AND SERVICES


The United States was the UN’s largest contributor last year, accounting for 9.37 percent of its procurement volume with contributions amounting to over $1.6 billion.

India has been one of the ten highest contributors since 2000 and it was in second place last year, supplying goods and services worth $1.28 billion. The United Arab Emirates came third with $805 million, ahead of Switzerland and Belgium.

Kenya is the only third world country to be ranked as one of the biggest contributors to the World organising body and the only African country.

The goods and services are part of the voluntary contributions made by the member countries to the UN. These are usually not used in to fund core UN activities.

The various goods and services supplied to UN are procured for use in its various special programs, including UNDP, UNOPS, the World Food Program (WFP), the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR), UNICEF, and the Pan American Health Organization.

The figures reported were compiled from information gathered from 36 United Nations organisations in total.
 
We utakua unaanza kuwa kichaa.
Yani mununue chakula kwetu then mukiweke muje kuwauzia WFP then WFP wawape km msaada ninyi ninyi ambao mmewauzia???!!!!!!
Kama una watoto omba Mungu wasifate akili zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We utakua unaanza kuwa kichaa.
Yani mununue chakula kwetu then mukiweke muje kuwauzia WFP then WFP wawape km msaada ninyi ninyi ambao mmewauzia???!!!!!!
Kama una watoto omba Mungu wasifate akili zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game kama hujui inachezwa vipi afadhali uulize ama sivyo ufunge bakuli... Usifikiri Kenya hupigania operation zote za UN Africa ziletwwe Kenya kwasababu tu ya sifa za kuwa na HQ ya UN..... Hivi unajua tuko miongoni mwa nchi zinazo pata faida nyingi sana kutokana na uuzaji wa maembe? karibia asilimia 30 ya hayo maembe hua si ya Kenya, hua wananunua maembe kutoka nchi jirani kwa bei reja reja alafu yanachanganywa na maembe ya Kenya na yote yanauzwa kama maembe ya kutoka kenya. Vile vile sio kila mahali Kenya kuna ukame, WFP hutoa kandarasi kwamba wanahitaji mahindi kiasi flani kwa operation za Kenya (Ukumbuke pia kwamba opration za Kenya kuna refugees wa Somalia, S.Sudan, Ethiopia, DRC, Burundi wanaopewa chakula hapa Kenya etc) Kampuni ya kikenya inaenda hapo na kusema wana uwezo wa ku supply tani 400 za mahindi, wakishapata kandarasi unakuta wana uwezo wa tani 150 pekee, hizo zengine zinanunuliwa nchi jirani alafu wanachanganya na kupandisha bei kwa UN, mwishowe unakuta Kenya iliagizia mahindi ya takriban $60m kutoka TZ, lakini kampuni za kenya zilipata takriban $100m kutokana na biashara ya kuuza mahindi kwa WFP wakati kenya yenyewe inajulikana haina mahindi ya kutosha mahitaji yake.
 
Kijana kuna mengi ya kuyaingiza kichwan ila sio huu upuuzi.
Maana km ingelikua hvyo basi serikali ingelinunua vyakula kutoka hayo mashirika ili msife njaa.
Inatosha kwa huu upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tarifa kwa mitanzania ni kelele tupu, wengi humu wako na akili finyu, bended mindset towards what they like to hear, mengine unapigia mbuzi gitaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…