Kenya yapokea dozi 410,000 kutoka UK

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Serikali ya Uingereza imeisaidia Kenya dozi 410,000 ambazo zilitolewa baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutembelea Uingereza wiki hii

Dozi zilizowasili ni sehemu ya dozi 817,000 ambazo Rais Kenyata alizipata katika ziara yake

Kenya imeendelea na kampeni ya kutoa chanjo kwa watu wake. Wizara ya Afya imekiri kuwa hospitali zinazidiwa na wagonjwa wa #COVID19
-
Kenya received some 410,000 doses of Astrazeneca vaccines donated by the UK government on Saturday.

The donations were made public during President Uhuru Kenyatta’s visit to the United Kingdom this week.

The vaccines arrived aboard an Emirates A6-EPM aircraft and were received by Chief Administrative Secretary Dr Mercy Mwangangi, among other Health Ministry officials.

CAS for health Dr. Mwangangi stated that the doses arrived at an ideal time, as Kenya is engaged in a vigorous campaign to vaccinate more people.

At the same time, she expressed concern about the rising number of cases in the country, claiming that hospitals in the country, particularly in Nairobi, are overburdened.

“Nairobi continues to record high numbers, we need to more as residents. Our medical facilitaties especially in here in Nairobi are overstretched particularly for those seeking critical care,” Dr Mwangangi said.

The shipment is part of a donation of 817, 000 doses secured by President Uhuru Kenyatta during his three-day visit to London this week.


The remaining half of the doses donated through the COVAX facility are expected to arrive in the country within the next few days.

Kenya had vaccinated close to 1.7 million Kenyans by end of July and has an ambitious plan to vaccinate at least 10 million people by end of the year.

During an interview with Sky News on Friday, President Uhuru Kenyatta urged foreign governments to sell, or at the very least offer, intellectual property rights to African nations in order to assist them in vaccinating their citizens.

According to the President, vaccine nationalism has demonstrated how unequal the world is.

He also cautioned that no one will be completely safe unless the African population is also immunized
 
AstraZeneca Marekani na Switzerland walizikataa. Canada na baadhi ya za EU walitumia kidogo nao wakazipiga chini. Zinasababisha damu kuganda ambayo huweza kusababisha kifo. Kuna baadhi ya nchi watu wamekufa japo si % kubwa lakini vifo vimetokea ná hadi sasa hawajachunguza kwanini inasababisha damu kuganda.
 
AstraZeneca itakuja hadi Tz, ni suala la muda tu, kati ya chanjo mbovu na inayosambazwa sana kwa nchi maskini ni AstraZeneca, mara mia upige za mchina au Mrusi ila AstraZeneca ni kimeo.
 
Till now, sixty years after Independence, Africa still needs help to vaccinate her people. What a shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…