Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,681 Reaction score 8,887 Nov 10, 2022 #1 Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6 Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa 66 na mtu mdogo zaidi ni mtoto wa mwaka mmoja na mkubwa zaidi ana umri wa miaka 87. Jumla ya watu waliokutwa na Covid ni 340,114 kati ya watu 3,927,744 waliochukuliwa vipimo. Zaidi, soma=> Maambukizi ya Covid Kenya
Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6 Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa 66 na mtu mdogo zaidi ni mtoto wa mwaka mmoja na mkubwa zaidi ana umri wa miaka 87. Jumla ya watu waliokutwa na Covid ni 340,114 kati ya watu 3,927,744 waliochukuliwa vipimo. Zaidi, soma=> Maambukizi ya Covid Kenya
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Nov 11, 2022 #2 Wameanza tena kale kamchezo kao.