Kenya yarusha "Satellite" yake ya kwanza kwenda angani

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
4,720
Reaction score
6,957
Leo Kenya wamefanikiwa kutengeneza na kuirusha Satellite yao ya kwanza kwenda anga za juu inayoitwa UoN. Hata hivyo mwaka 1970 Kenya walirusha Satellite yao ya kwanza iliyoitwa Uhuru.

Sisi Tanzania tumekalia kusema eti ukiwa na cherahani mbili basi unakiwanda tayari.

Ni lini na sisi Tanzania tutakuwa na Satellite yetu ya kwanza???
 
Hapo mwisho umekosea, siyo kila wanachofanya Kenya lazima na sisi tufanye. Japo ni jambo jema, ila acha sisi tuendelee kufanya ya kwetu.

Ikifika muda, tena kama ikibidi, Tanzania itarusha tu. Nitakuwa na hofu kama tu ni satellite ya Jeshi, ova
 
Tukifikisha vyerehani million 60
 
isije kuwa satellite ya kuchora kama ile BRT yao mkuu... kuwa makini nao hao... labda kama kuna kavideo kidogo...
 
Leo Kenya wamefanikiwa kutengeneza na kuirusha Satellite yao ya kwanza kwenda anga za juu inayoitwa UoN. Hata hivyo mwaka 1970 Kenya walirusha Satellite yao ya kwanza iliyoitwa Uhuru.

Sisi Tanzania tumekalia kusema eti ukiwa na cherahani mbili basi unakiwanda tayari.

Ni lini na sisi Tanzania tutakuwa na Satellite yetu ya kwanza???
Naendelea kusema tuna mengi ya kujifunza kutoka Kenya
 
Hapo mwisho umekosea, siyo kila wanachofanya Kenya lazima na sisi tufanye. Japo ni jambo jema, ila acha sisi tuendelee kufanya ya kwetu.

Ikifika muda, tena kama ikibidi, Tanzania itarusha tu. Nitakuwa na hofu kama tu ni satellite ya Jeshi, ova
Mkuu huo muda utafika lini?? Tunazidi kuachwa kila kukicha, sisi tunabakia porojo tu.
 
Mmmh ngoja nika google kwanza nipate uhakika ndo nije ku comment mana naona maelezo ushahidi siuoni.
Nenda uka-google mkuu kisha ulete mrejesho. Hii ni habari ya kweli kabisa.
 
Kazi ya hiyo satellite ni ipi !?
Kukujulisha hali ya hewa ya kila siku, kukujulisha mabadiliko ya dunia ktk mfumo wa kidumia bila kutegemea satelite za watu wengine, kurahisha mawasiliano na kuwa ya gharama nafuu kama vile kuwa mubashara ktk luninga, usalama wa nchi ktk nyanja za mawasiliano, uwezekano mkubwa ktk kutengeneza silaha kali za kivita na ulinzi ; mfano satelite guided bombs na missiles. .faida ni nyingi sana mjomba. ..na muhimu zaidi. Kenya wanaweza kutuuzia sisi hizo kwa bei nafuu! Na wakitaka wanaweza hata kumuona magu pale magogoni akipiga pushaups! Kuondoa utani, faida ni nyingi mnooo. Bungu sisi hata kuupanda mnazi, kuumwagilia maji mpaka uzae matunda inatushinda! Porojo nyingiii!
 
Back
Top Bottom