Kenya yarusha "Satellite" yake ya kwanza kwenda angani

Mkakati ni kuwa na vyerehani 3,000 kwa kila wilaya
 
Kwahiyo satellite ya kwanza imerushwa leo au ilirushwa mwaka 1970?

Satellite ya kwanza ni uhuru au UoN?
 
sio wamerusha sema wamerushiwa na japan huku uangalizi wote uko chini ya japan
 
Swali ni je na sisi Watanzania tutarusha ya kwetu lini hata kama itakuwa chini ya uangalizi wa Wahindi, lini?????
tutarusha tu kwanza tumalize matatizo yote yakijamii wakenya hukimbilia mambo makubwa huku matatizo ya kijamii kwao ni mabaya zaidi ndio maana leo hata ukiangalia below poverty line in kenya is 46% ukitazama unemployment is about 40%
 
Serekari ya awamu ya tano,inapenda kuwapongeza jirani zetu wa Kenya,kwa kurusha state...sati...hivyo hivyo mnavoitaja. Tunapenda kuwapongeza sana ndugu zetu.
Serekari yetu tutatoa msaada wa bega kwa bega,kwa maana sisi tupo adivancid kidogo kila baada ya nyumba 2 tuna viwanda vya vyereyani vingi tu nakadharika.
 
Satellite imerushwa kutokea Japan...!!
Hebu sisi tuache tuinue hali ya utu wa Mtanzania kwanza
 
Hiyo satellite imekuwa japanese financed, technology ya japan imetengenezwa nairobi na wajapan na kurusha from Japan space station wacha kujidanganya na kujipa sifa ambazo huna. kenya haina technology ya kutengeneza satellite
 
Kwa ushirikiano na wanasayansi wa Kenya na wanafunzi wa chuo kikuu. Kesho yake itakuwa ni zamu yao.
 
Hebu tuone hata video ya urushaji wa satellite hiyo. wakenya hawaaminiki kwa kweli.
Maana ingekuwa hivyo humu wakenya wange jazana kuonehsa nyuzi tofauti tofauti
 
Hebu tuone hata video ya urushaji wa satellite hiyo. wakenya hawaaminiki kwa kweli.
Maana ingekuwa hivyo humu wakenya wange jazana kuonehsa nyuzi tofauti tofauti
It was live in Nation TV jana lunch time news., around 1pm., tafuta, and nobody is talking about it huku. It was announced two weeks ago., not as a major news.
 
It was live in Nation TV jana lunch time news., around 1pm., tafuta, and nobody is talking about it huku. It was announced two weeks ago., not as a major news.
Kwanini tusiione humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…